**Kila mwaka Kuanzia Mwezi April mpaka October mwenge unazungushwa nchini kote. Mikoa 31 na halmashauri 195.
TPDF wamekabidhiwa Mwenge na Bendera ya Tanzania kupandisha Mlima kilimanjaro.
Tunapandisha tena kuelekea Ukombozi wa Kiuchumi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi Pindi Chana (Mb) tayari amewasili katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro tayari kwa tukio la kupandisha mwenge wa Uhuru katika Kilele cha Mlima Kilimanjaro, Zoezi ambalo linafanywa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
Tunafanya vitu kwa vitendo

Unaweza kuwa wewe ni Muafrika usiamini katika Pan-Africanism. Lakini sisi tunaishi kwa vitendo. Hunabudi kuakubaliana na imani yetu.
Mwenge huu hautakiwi kuzima mpaka upande juu ya kilele cha Mlima Kilimanjaro ili uyaangaze mataifa yote
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mary Maganga akipokea mwenge wa uhuru wakati wa zoezi la makabidhiano ya mwenge wa uhuru lililofanyika leo Oktoba 14, 2024 Uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunus akipokea mwenge wa uhuru wakati wa zoezi la makabidhiano ya mwenge wa uhuru lililofanyika leo Oktoba 14, 2024 Uwanja wa CCM Kirumba, Jijini Mwanza
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe.Ridhiwani Kikwete (Mb) ambae ni Mgeni rasmi katika tukio la kupandisha Mwenge wa Uhuru katika kilele cha Mlima Kilimanjaro tayari amewasili katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro na kulakiwa na mwenyeji wake Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi Pindi Chana (Mb).
Blah blah. How Communism made Tanzanian bonobos lazy is beyond my comprehension. Imagine all the state machinery to enforce anything but you just leave bonobos to their own devices. Kazi ni kusifu lies mtukufu and no work.
huyu communist anatangaza nini?
Tanzania is a socialist State not a Comminist













