elders

So jana nilikuwa off duty alafu i dicided to visit bro pale embakasi ap training.he is a teacher there.so nikiwa mtaani kijana anapendaga kunikwamilia sana.so i walk around with him wkeds.mimi nikaamua chuma ipumzike nitumie matatu.kijana ako na hii tabia ya kuniita baba after every 1 minute.haha.baba ona ile dinga,baba ninunulie hii,baba ona ngombe.baba…blablabla .but nishazoea.so sisi hao kwa matatu alafu tukafika pale airport kijana ashaanza story za ndege.

Sasa kitu iliniudhi yangu yote kuna kidem kilikuwa kimekaa mbele yangu.akanishow…si uambie hicho kitoto kinyamaze.tumechoka kupigiwa kelele.malaya,umbwa,matako,sura kama ya saitaaan.who do you think you are?yaani unaita mtoto wangu hicho kitoto.that was my responce huku nikimrukia kama chui.yaani hii mwaka yote sijawahi kasirika kama jana.i value my son more than my car.ilibidi conda aingilie kunituliza…huku akichunwa maskio na wamama wengine abiria wakimwambia.nyinyi wasichana ndio mnaachia mama zenu watoto ushago na mnakuja kukimbizana na ulevi nairobi…vile nilisema niwekwe hapo ap nilisikia kimeuliza …kwani huyo ni afande?..

to all parents…was this ok ama i overreacted.coz nakumbuka zile matusi nlimwambia not minding who was listening naona kama nilikosea abiria wengine heshima

11 Likes

how you punctuate your hekayas is so wanting mboys

4 Likes

Ulifanya poa, the way you stood up for your son will give your son a high self esteem but mwambie matusi sio poa

8 Likes

hahaha…wewe ata naona uko mpole…
My dad overeacts hadi sahii…and am a grown ass woman…lol!!!

2 Likes

Meff,weka matusi ulitusiana hapa ndio tukupe mawaidha @Voltron .

2 Likes

ilikuwa explicit.na boy wangu lisikia.but nlimshow later asiwahi tusi mtu hivo

1 Like

I think when it comes to shielding your Kid from an idiot nothing is off the table. No rules

9 Likes

:D:D:DTo this point I thought the “boy” attempted cock blocking or something of that kind. [SIZE=2](lasima tuambiane ukweli, based on your nature of hekayas)[/SIZE]

5 Likes

ungeanza na RKO kabla maneno

2 Likes

https://media.giphy.com/media/F8bo1LU5U5ApG/giphy.gif

1 Like

mtu akajaribu kutusi Imani wangu- 2 hot slaps and a sweep direct
hakna kuongea mengine

2 Likes

Safisha elders mecho kwanza ndio ulete comment

3 Likes

Come for matusi lessons Mombasani, hicho kidame ndicho kingeshuka. Hapa Hua zatoka kaa maji ya pipe ya firemen

3 Likes

hehehe naona hapo ulibehave Ki tru Rasta, NEVER DIS a man or child, but huyo kijana yako ni kihere here kama wewe, ndo mana we hutuletea story nyingi, mara kili mums, mara koinange finest, mara Astonvilla manenos, hapo ndo kijana ametolea udaku (on a lighter NOTE bro)

1 Like

wazi

:D:D:D

I think some of “us” have already [SIZE=1](mimi husafisha live ama inbox)[/SIZE], why don’t you guys take the cue:)

2 Likes

:D:Dkwani mimi ni kuiherehere.aki sasa nitapunguza postings huku.nikae tu kwa ukuta

1 Like

Mbisha ya grown Ass Woman tafasali, colombo anaumia

5 Likes

@Phylgee @Claire tusafishe mecho kiasi ni friday

1 Like

That lady is a young single mother na amewachia wazazi mtoto. She felt jealous after seeing u bonding with your son coz mtoto wake hana baba Wakumpeleka raundi kama hizo. Mtoto ushinda akimuuliza mom mbona sijui baba yangu ama sinanga baba?

2 Likes