system
August 25, 2017, 10:30am
21
Hapo sawa @culture .
Hata ungemchuna na pliers.
1 Like
that’s fatherhood. reaction on point.
1 Like
Hapa mimi nikupitia tu… Nikinusanusa.
1 Like
Claire
August 25, 2017, 10:34am
24
[SIZE=2]for as little as only Krc 500, we can do that in box. other T&C apply:)[/SIZE]
2 Likes
culture
August 25, 2017, 10:47am
27
kasaman:
Ulijinyima heshima
ok.acha nijinyime kama heshima ni kuseat back mtoto wangu akitusiwa.neeeeeeeeeeevr.naeza kula mtu na meno
1 Like
system
August 25, 2017, 10:51am
28
Nimetuma inbox…safisha is the title
2 Likes
kasaman
August 25, 2017, 10:54am
29
Hungemtusi mbele ya mtoto ako ,the issue is how your child took the whole drama
3 Likes
culture
August 25, 2017, 10:56am
31
leo ni friday.ulisema mtu akuje na 3k.nitaingia settings ?.
inbox yangu iko open mbisha zikuom.
epoch
August 25, 2017, 11:36am
34
Good. Try not to be overprotective. Mtoto anaweza kuwa na self entitlement, which is not good. Kama ako na makosa, mkosoe hivyo hivyo.
3 Likes
xuma
August 25, 2017, 11:38am
35
Mtoto wako ni fahari yako. Hata awe na maumbile ya aina gani au tabia za kipekee. Ulifanya kama kila mzazi mwenye hadhi na uwajibikaji yuafaa kufanya. Kumkaripia yeyote yule asiye na nia njema ni sawa.Walakin, matusi ya namna ile huingia kwenye ubongo mchanga wa hawa bwana wadogo wetu na huenda wakayatumia kama karii.
Kongole @culture lakini mfanyie ushauri (counseling) mwanao asije akafadhaishwa na hicho kisa.
2 Likes
mi naye sipeani KCr kabla nipate KONYAGI, nisafishiwe macho kwanza, zikingaa nina double hiyo KCr + mbonasi
2 Likes
Ningemsugua huyo dame ngoto moja moto sana kichwa yake ungekuwa bado ina vibrate hadi saa hizi!
1 Like
Etigere
August 25, 2017, 12:36pm
39
culture:
So jana nilikuwa off duty alafu i dicided to visit bro pale embakasi ap training.he is a teacher there.so nikiwa mtaani kijana anapendaga kunikwamilia sana.so i walk around with him wkeds.mimi nikaamua chuma ipumzike nitumie matatu.kijana ako na hii tabia ya kuniita baba after every 1 minute.haha.baba ona ile dinga,baba ninunulie hii,baba ona ngombe.baba…blablabla .but nishazoea.so sisi hao kwa matatu alafu tukafika pale airport kijana ashaanza story za ndege.
Sasa kitu iliniudhi yangu yote kuna kidem kilikuwa kimekaa mbele yangu.akanishow…si uambie hicho kitoto kinyamaze.tumechoka kupigiwa kelele.malaya,umbwa,matako,sura kama ya saitaaan.who do you think you are?yaani unaita mtoto wangu hicho kitoto.that was my responce huku nikimrukia kama chui.yaani hii mwaka yote sijawahi kasirika kama jana.i value my son more than my car.ilibidi conda aingilie kunituliza…huku akichunwa maskio na wamama wengine abiria wakimwambia.nyinyi wasichana ndio mnaachia mama zenu watoto ushago na mnakuja kukimbizana na ulevi nairobi…vile nilisema niwekwe hapo ap nilisikia kimeuliza …kwani huyo ni afande?..
to all parents…was this ok ama i overreacted.coz nakumbuka zile matusi nlimwambia not minding who was listening naona kama nilikosea abiria wengine heshima
hapo mimi ni kuwekelea jinga kofi kesi baadaye
1 Like
byro
August 25, 2017, 12:46pm
40
nilikuwa nmesoma ulikuwa umebeba bro wako…punctuations muhimu
1 Like