CORD This is Not Fair Bana..........

Yaani na risk kuja mkutano ya Baba na proceedings so far are all in dholuo?

Kutoka welcome song ya Guka Mkuu up to the entertainment bana?

Na sisi mahasra wa Banana Hill tutafuata aje?

Alafu kila mtu hapa ni black kama alioga na sabuni ya Rexona Charcoal. Mimi tu ndiye mweupe na tu-yellow-yellow twinginge hapa kwa jukwaa. Nafikiria ni tu-sponsee twa waluhya fulani.

Aisee, CORD, be inclusive bana…

3 Likes

Guka sasa Umehamia Banana Hill?:D:D:D

1 Like

curtain raiser ya afraha imeisha. the main event is on…

hahahaha wacha diss boss ati ww ndio mweupe tu

1 Like

Hawa watu wameshika rangi nyeusi sana…

2 Likes

shhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh tulieni mzito MASIKA ANAONGEA

points

MPUMBAVU WA MWISHO DUNIA HII

BLAMING ANYBODY AND EVERYBODY

1 Like

WAKILI ORENGO

JUMA TATU TUENDE KAZI

MUNDU KHU MUNDU

1 Like

Baba anaingia jukwani

Sssssssssssssssssssssssssssssssssh! Baba anaongea na mimi naonekana hapo nyuma!

2 Likes

NIKISEMA HARAMBEEE MUNASEMA HEEEEEEEEEEE

Uwesmek nyamasa jakuon anaongea

1 Like

Sasa nitaenda nyumbani aje na vijana wameanza? Who told me to come here aki?

BABA IMBAAA BABA IMBAAA

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

1 Like

Sasa Babuon hataongea? Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaai!

CROWD CONTROL CHAIMAN KHALWALE