So you are there to lighten the day na weupe? Hehe.
uwesmake uko Na birificase
NOTISI
Mimi kwisha aki! Wacha nijifanye naenda choo Serena nikitoe…hi brown skin yangu will have me killed. Lakini mtu akinisalimia najibu ‘Salaam aleikhum’. Mimi sasa najifanya Mohammed Adhumani kutoka Malindi…
WAZUNGU MUST GOOO
IN THE HEARTS OF HEARTS OF THE AFRICAN PEOPLE KENYATTA MUST BE RELEASED
UHURU NA KENYATTA
baba ametoa wimbo mupyaaaa
KITU KIMOJA
TULI ALIKWA
ALITUALIKA KAMA IMECHELEWA
OSWAHILI DLLLL
MCA mtalanjiwa …cord
So far speech ni murwa kabisa. Lakini naona kama mambo itandigenerate as I walk away…
TEARGAS TANI MILIONI MOJA HAITUTISHI
AI I BI SEE
UHURU NA RUTO YAKEEEE :D:D:D:D:D:D:D:D:D
UKIZaaA MTOTO MWISI SIKU SEMA AISENDE JELA
hizi ni points za baba
sivyoooo sivyooooo
WABUNGE TANO
JUMAAAA TATTTTU JUMA TATTTUU
MUKO TIYARI
NIPIGWE TEKE SITA RUDIIII NYUMAAA NIPIGWE PINGO , NIWEKWEE JELA , NIPIGWE TEAR GAS .
enyewe some Kenyans’ level of stupidity is out of this world…watu wanachochwa na babu na teargas ikirushwa anatolewa spidi na walinzi wake