Utawala tuko safe.
Kilifi tuko nice and well, acha nipitie mangweni ninywe mnazi alafu niende mtwapa nikamue poko mmoja
Nyayo Emba safe.
Watu wamerudi back to their hustles.
Siasa iliisha jana
Milimani, violence bado haijafika.
Am pinning this thread.
Juja tuko sawa. Pubs open though.
Mombasa nyali, bamburi safe… @Meria Mata naskia kuna mtu alikatwa huku kisauni…
Rasa chief kwani unaamkia poko mapema aje?
Tuko chonjo,just seen this thread somewhere, kumbe tuko pamoja?
Bamburi very calm, 50% businesses open. Life slowly coming back to normal
Island, 001 tuko sawa.
Kazi yaendelea polepole.
Mumenyima joho certificate ?
Atapewa tu, mwambie arelax
Ngong Road lenana, mambo shwari
mambo ya pwani huwezi yaelewa bwana tuliza matako jamaa
North Rift tuko safe biashara kama kawaida
Ngong kuko sambamba
na hii kijiji haina watu ya kisum?
Duncan khaemba ndani Kilimani police station.
Kasah kila kitu smooth…