COMMENT ON YOUR CURRENT LOCATION's SECURITY.

Thika nimemaliza threshold yangu ya 4 rounds.Saba ni nyinyi

17 Likes

Telekram mbona imekwama updates bwana VS?

1 Like

Ungwaro congo tuko safe…heavy presence of GSU…

Iten Tuko sawa, everything iko kama kawaida, heading to the officers mess.

7 Likes

Classified locashen, everything is very normal.

Runda tuko sawa pia

6 Likes

Meff,efidens kanono.

Efidens heading to officer’s mess[ATTACH=full]119108[/ATTACH]

8 Likes

Garden estate niliskia milipuko ya risasi usiku…but sai in kitengela and very safe

Kasa tuko safe
Kutuliza hangie tukingoja masaa ya cerebrashen

3 Likes

Ruiru market watu bado amuka. May be wali over indulge jana. Lakini mambo poa

2 Likes

-My old man works and lives in kisumu, ana niambia areas of kondele kume shuhudia vita usiku.

-Kisumu Eldoret road ime blockiwa,

-Thugs have taken advantage of the riots na wana vamia manyumba za watu na kuaribu mali

-some of kales, kikuyu and kisii wana toroka kisumu

-Kuingia na kutoka kisumu ni tricky

-Police walitumia necessary force to control the violence and by saa sita usiku kulitulia

-The alleged supermarket (i have forgotten the name) yenye ilisemekana imechomwa kumbe haiku kua ime chomwa…

-Personally i live in Nakuru and it has been largely peaceful Albeit kuna ka celebration mood jana vile nilienda Nakuru town

14 Likes

Ukiwa stronghold yetu ya NKR tulia kama maji na ukalie mkia!

9 Likes

Pole about your pops in kisumu. Nakuru is home and am happy its quiet

4 Likes

motoni Road , mambo imetulia kama kawa

aii there has been gunfire for the last 5 minutes

Evidence muimu boss yangu

2 Likes

Nakuru watu wako na haja ya kutafuta doe, watu wana jishugulisha na kutafuta unga…hakuna mtu anataka kujingiza kwa vita …labda places kama rhonda na kaptembwa ndio kuta kua na shida

3 Likes

Traversing Minji Minji and Ndengu areas…business as normal.

1 Like

Thika ni kama iyo elekshens zilifanyika last year

8 Likes