Buying land without title deed

Kuna mahali naitiwa plot wadau lakini hazina title na iko place fiti, remote area one of this semi arid counties lakini imeshikana na lami na karibu na water source. Shida hizi area hazinanga vyeti vya umiliki. My neighbor just next amejenga keja biggie na alinunua recently watu kadhaa wamenunua through adhoc means za chief na witnesses. Nichukue ama nisare wadau

I only buy land through mwito sacco, hizi zingine heri ikae

Kama ni Kilifi wachana nayoo

Kununua shamba haina title is up there sharing a spot with kuoa a single mother with a son. At some point, something.must bite you in the diab.

Saccos ni waste i withdrew my money wakanikata 11% i opted to withdraw ju they only told me waneza nikopesha hio pesa nimesave

Ni isiolo bros

Problems come later: disputes over access, owner demanding additional money when you want transfer because land prices are higher then than they were, size disputes etc

Do not buy without legit title deed. No need to explain further… Unless you are a gambler.

that is like buying a car bila kupewa Logbook. Think!!!

Mutanunua watu kinde

Plot iko Mlolongo? Hio ndio semi arid area najua watu walipewa Letter of Allocation instead of title deed.

Nimenunua plots 3 utawala na hazina title deeds. :D:D:D:D

The owners always show up with the title eventually…

Mwenzangu achana na hizo shamba. Mwenyewe akirudi aseme mumemuibia shamba. Mjipate kortini mmeshtakiwa na hapo hamna hati miliki yeye anazo. Shamba yako inapotea ivo tu.

Enyewe itabidi niache tu

Na hizi ploti naskia matuu ziko aje na ziko na title deed

Alafu mwenye anakuuzia humpati ng’o

Matuu ni ocha. Huko hakuna mtu huwa na title deed. Thats deep in kambaland. I once accompanied someone to go see those pieces of land. Nothing to write home about. Shamba iko msituni bana in a place where there is deep poverty and development in that area will never happen even in the next 1000 years.

Mwenye ananiuzia ni kamzee local kameuzia watu wengine watatu same area mmoja ata amejenga. Hizi areas semi arid wanauziananga hio design lack of titles doesn’t mean haziuzangwi. Shida naona watoto wakuje kuleta shida baadae nianze case kamzee kakiwa kamekufa

Hapo ndo mahali shida inaanza.