Buying land without title deed

Ndo na imagin nipite thika… Landless… Ngorifa… Yatta… Kithimani… Niende all the way to matuu place iko almost 10km from town. Shida shamba za town ni karibu mita siezi fikia, hizo za matuu ni 200k ndio inanieka temptation

Huko ni kwa wale watu walikata kata cousin ya @PHARMACY juzi kisha wakaambia hio jinga @PHARMACY ati kuuwa mkamba ni kama kuuwa mbuzi tu. Hakuna tofauti.

In short pastoralists are not to be fucked with unless you own many guns.

Whore please don’t mention me you stupid rabid dog, kindly

Hiyo ni zile deals unanunua shake. Unarudi muchatha kuthukuma. Unarudi unapata marionette iko 3/4 finished. Na huna nguvu ya ku fight back

Weka hio pesa kwa money market ama open CDS account and buy gava bonds and earn on average 12% pa…shamba Kenya ni kama kuoa kunguru alcoholic singo matha na ana shida za mapesa…stress tupu