50 Bob 🍞

Hizi mikate za 50bob naona zinauzwa kila mahali kwa steets how are they managing profits na be broadways ni 60, lakini ni poa zinauzwa na mahustler wanapata kakitu

1 Like

Talking of broadways hakuna mkate tamu kama hio

3 Likes

Broadie ilitushikilia sana high school back in the 90’s…glad that they have never compromised on quality!

3 Likes

Kings Mill used to be the sweetest bread. Bado iko ama.

2 Likes

Kwani hawaileti Naikuru?

haija fika 400 gms bwana bongolala alafu ni low qlty

5 Likes

What is low quality :bread:?

low qlty everything is not high qlty, just like this low qlty meffi post

1 Like

Ukipaka sperms Kwa mkate ni tamu kama sunguch

lakini nikiwa serious ata home made or supermarkets 400gms zinauzwa 50 bob toa pesa mingi ya distribution.

bonobo wewe

low overhead cost, maybe .

1 Like

Ingia izo supermarket hufanya baking asubuhi ujishikie ikiwa moto na haijakatwa

Hii ya 50 haina distribution costs?

Mkate hot si itafurisha tumbo

Hio mkate ni high quality acha xako

Warm and fresh :grin:

People still eat bread?

2 Likes

No, wanapigana nayo

Festive bread is the best, though bread generally isn’t very healthy.

1 Like

Mimi mkate ni “Yummy”. Supa loaf huwa too soft na mimi sio kibogoyo. Mkate nilitambua ni Elliots block ama ile sliced.

Untitled-1

2 Likes