50 Bob 🍞

Nikiingia jasho cafe kula chai ya saa Tano, nitawauliza ile tothi ya maguta juniors inakuanga mkate gani

1 Like

Nyanza tumegrow na hii tamu, kuna variant yake iko somehow bland taste ya red wrapping.

Mali ya Nyachae.

3 Likes

Hii inakaa karatasi ya butter :butter:

meffi
izo za fifte za kayole sio zenye ziko rongai ama ata utawala ni localized cottage bakeries.

kumbe hunanga akili

Wakenya ma bongolala wanapenda anything yenye imefurishwa na yeast bora inakaa kubwa hawajali weight.Ukiwauliza which one is heavier between 1kg of feathers and 1kg of nails wanajibu nails

1 Like

tosti ikiwa chini ya beberu pale 90s to 2000s was the best…sahii tosti bread tastes like crap. ata siwezi maliza slice

1 Like

Leo pale jasho nikunuywa chai ya 11 Waithera ameniambia hio tothi ya mafuta nimeitisha ni ya citizen bakery. Iko very nice

Wewe hujui, ile boflo kubwa iko na maslice mingi na ni cheaper kuliko ya suapamaket

Inaonja kama karatasi ya exercise book kama ile mkate ilikua inaitwa akiyda

1 Like

Jaribu Citizen Bread , iko chojo sana

1 Like

swafii mkuu

Hii inauzwa wapi? Never seen it

1 Like

@Dudu1 wewe ulizaliwa 2000’s huwezi pata hii mkate sasa but they had tried to revive it a few years back

Hio mkate ilikuwa tamu saidi.