With my mzinga 4th street, muziki on the point…best way to begin a campaign filled week ahead… AZIMIO…INAWEZEKANA
Hata picha ya jina 4th Street hatujakataa
[ATTACH=full]442832[/ATTACH][ATTACH=full]442832[/ATTACH]
@Wandering wanderer …kuja nitoe formu
Niko SJ…eye cleansing mdogo mdogo
Nimepitia hapo river road nikaona mapaja yellow yellow hapo kwa balcony
Nitasema tu venye @Wanaruona ameuliza elder mahali. Are you out to punish your liver?
Hizo zote na uko solo ama umejishindia wale watu?
I’ve never tasted akoho, smoked or engaged a lanye…sikuwahi vutiwa na hio lifestyle. But hizo ni mingi saidi…mtu mmoja
:D:D:D:Dhio ni warm up ya kuanza kunywa
SJ kuna mazuri leo ama lanyes are catching a breather after pounding ya Friday na jana?
Warm up…huwa mnajaribu unaketi chini twelve hours ukibugia mvinyo :D:D
Vitu yellow huvutia
Big and yellow
Watu hujaza machupa kwa meza ni meffi ya mbwa koko.
Bro you must have a one hella boring life
Kama hajawai jaribu, life yake iko tuu sawa coz he has nothing to reference to.
Tafash ni mutu amezoea life ya fobe, wanawake na vilabu halafu aache.
I tried quiting akoho for 3 months manze life ikakuwa boring sana.
Imagine umetravel to a new town lakini you can’t enjoy the night life coz huwezi enda klub kunywa maji ama soda pekee
Haujapata poko wa kupimp Kwa telegram channel yako uko ama?
Sio uwongo uyu ni chairlady wa hao meffii