YENGS

[I]Kuna dem nimewai dhani nimeangukia kumbe mi ndo nimeangukiwa msee

Dem alianza ka customer wangu wa movies & series, alafu alikuwa fine niaje… so kuna day alidai nimsakie keja anadai kuhama place ana stay
Mraiya nikaulizia hapo around nikapata… so kuna day alipitia ku buy series nikamsho nime get hao akuje nimpeleke acheki
Tukafika hiyo base yengs akadai mansion imem-nice… akachapia caretaker amuwekee ata quom wikendi ku settle.
Wikendi nikacheki yengs akihamishiwa vitu na mraiya ya mkokoteni… akanigotea akipita. Ilikuwa saa tatu.
Twelve thirty yengs akanitext ati amemada kupanga hao nipitie anipikie lunch as a show of appreciation, boiz nikamsho ntapitia.
Getha ya saa saba msee nikafunga shop nikafika mansion ya pengting… hiyo keja ilikuwa comfortable hadi una feel tu ku crush over.
Huyo mtint alikuwa campo bado but alikuwa ameamua ku stay nje… boy nilikuwa natamani kuweka mguu kwa meza nisome gazeti but nika maintain. Yengs akanikaribisha na hug, alafu ni wale madem wanajua ku execute hug… yaani anaku hug una feel nipples zikikudunga soul.
Alafu after kukuhug una feel scent yake ikiendelea kukuhug…! Boiz nikakalia bed coz ilikuwa bedsitter, kinyambis ilikuwa comfort zonemsee… seventh heaven.

Lunch ilikuwa brief coz ilikuwa rice na tomatoe stew… dem alishiba but boys hiyo ilikuwa appetizer bana nkabaki na sip tu juice
Yengs akadai nimpige company for the afternoon coz hajui mtu hiyo ploti, boiz nikaamua issa date
Akanisho nipande kwa bed nisonge kwa wall then akani join na lappy akaweka muvi, yengs akanilalia kifua bana
Mood ilikuwa kama demonstrations za NASA, no erections no kigongi… boys nilijikaza ku impress huyo empress sikutaka kuchachisha vile mi ni pervert, game nilificha chini ya waba hiyo day
Msee nilikuwa heaven on earth, alafu shida ukiwa in a good mood time husonga haraka… nilitoka huko 7:20
Yengs akadai nimtembele kesho yake coz itakuwa Sunday
Sunday nilifika kwake 1:30 kama nimeshakula lunch coz sikutaka kukula rice na tomatoe stew tena… hiyo ni chakula ya kuku
Boy child nikakaribishwa na hug alafu nikachukua ma position kwa bed ile side ya ukuta nikama niko kwangu, yengs akaleta lunch
Alafu ile siku nilikuwa nimedharau lunch yake ndo aliamua kupika spaghetti na meat stew bana, alafu nikaletewa na juice ya picana
Nlikua nimeshiba but ikabidi nimekula tu hiyo lunch ndo iende ikuwe acquinted kwa tumbo na ile lunch nilikuwa nimekula earlier
Hiyo day nilishiba hadi kwa Adams apple msee, I swear ninge yawn yengs angeona vipande za nyama hapo kwa shingo
After lunj tukaamulia muvi, yengs akalalia kifua kama kawa, alafu alikuwa ameleta snacks… tu biscuit na njugu tuki watch

kitu 6 hapo dem akasunda lappy kando akaniangalia akadai, “let’s talk”… mwanaume ni kufikiria na msolokombo so nikajua ni kigongi related
yengs alikua bado kwa kifua but ametilt kichwa design ananiangalia nikama anataka kupewa mate… concentration ilikuwa tiambo
yengs akaenda straight to the point, “ive been hurt before and I hate chasing men, so I’ll be honest, I like you very much”
boy kichwa ilikuwa ina rotate ka earth kwa axis, yengs akadai hataki ku beat around the bush nimsho kama nadai relationship na yeye ama nuh!
Boiz sikuwa na time ya kutumia akili kufikiria, ikabidi nime trust guts zangu… guts zangu zilikuwa zinadai ku get laid so nikadai “yes”
Umewai jipata kwa relationship bila kurusha mistari, yaani uliamka morning ukiwa single unarudi kulala in a relationship msee
Yengs akadai siendi home nta spend kwake coz ameboeka peke yake hiyo ploti, boy child nika itikia Supper ilifika kama bado nko na lunch kwa tumbo, yengs akadai ni feel at home akiendea supper…
Si boiz mguu ya left ikapiga mguu ya right double decker nikama niko kwangu , kitu nilikosa ni gazeti tu
After supper yengs akakuja kuni join kwa bed after ku soak viombo, akasunda lappy kando cuddling ikaanza
At this point sikuwa sure ni nani ako in control kwa hiyo relationship, yengs alikuwa ana set pace kila mahali
By the time nilikuwa nimeanza kuzoea cuddling alikuwa asha graduate kwa kisses, kidogo kidogo nlikuwa uchi msolokombo iki directiwa kwa ikus

Part 4.
At this point nlijua ni kukula dry fry, cd tuliachia cd player… it was all fun and games hadi vile nili cum na dem akadai “more”
5 mins later niligundua huyo yengs anapenda siecs kama fwacken…
msee nilikuwa nimeisha nahema lakini ameni grab kinyambis nikama anataka nipotelee ndani ya ikus
Shot ya pili ilinipata kama nko karibu kukufa dehydration msee, na ndo yengs hakuwa ame climax… miguu alikuwa ameweka hadi kwa kichwa
Dem nikama alikuwa yoga class na mi nilikuwa training ya GSU kiganjo msee… nikitoa anaingiza, nikimwaga anamwagikiwa
Hiyo siku theme ilikuwa “Mollis nimeshoka…” and other stories
By the time ametosheka boy child nlikuwa na muscle pull kwa msolokombo, nilijikunja kwa side yangu na kudos direct
Akabaki akijiambia ati “Hunnie you were great…” kigongi ilikuwa kama cross country, unamaliza unatamani glucose
hawa ni wale madem huamki morning glory coz ameku drain kila kitu usiku, hiyo morning unang’orota na finyo ajue umelala…
Morning mraiya niliamshwa niende kupiga shower… ilikuwa life in London. Nllitoka huko na kuingia works msee
Nlifika works nikinukia fresh na nguo za jana
Mraiya nilikuwa nimeanza ku evaluate kama nimeangukia ama mi ni play toy tu coz kigongi ilikuwa back tu back kama days of the week…

Part 5 coming

Part 5.
Alafu ploti yao ilikuwa a few blocks from place nadunga works so route ya kuingia kwake ilikuwa tu hiyo moja
Akaanza kupita na maboy, kwanza ilikuwa ati classmates, then cuzo… shida ilikuwa ati wakikuja jioni unaona wakirudi kesho yake morning
Since si mimi nilirusha mistari nikakanyagia hiyo riba ya kuuliza ni nini inaendelea… then kuna day niliacha jumper kwake
Alafu hiyo day njeve ilikuwa majority nikiwa works nikaamua kurudi keja yake kuchukua
Mans nikafika ploti yao nikaingia kimangoto ni kama ni kwangu nikapata kifadhela kimedoz katikati ya bed na vest na short
Ikabidi boy child nimeji excuse nikavako “wrong house” nikafunga mlango. Yengs hakuwa ndani but hiyo ilikuwa keja yake
Sikutaka noma nikaamua kurudi works, kufika stairs nikakutana na yengs ametoka shop ku buy maziwa… sikubonga nilimpita ka stranger
Mraiya nilidhani nimepata kumbe nlikuwa tu kama msee amepanga line ya ATM anangoja ku withdraw doh zake akiendanga

MORAL OF THE STORY: Pombe yenye umenunuliwa ni tamu kuliko yenye unge buy mwenyewe, lakini kunywa ni kama we ndo utailipia.
Vhindu vichenjanga, unadhani uko relationship kumbe uko WhatsApp group ya wanaume but dem ndo admin.[/I]

Kuna dem nimewai dhani nimeangukia kumbe mi ndo nimeangukiwa msee

Vhindu vichenjanga, unadhani uko relationship kumbe uko WhatsApp group ya wanaume but dem ndo admin.

naeza relate mpaka part 4

Hio Hekaya imekubali.

:D:D:D:D:D:D:D

Hekaya timam

:D:D

Masaibu ya boy child.

Umenikumbusha time moja during my junior fisi days… Before i earned my stripes kuna dem alinikarbisha kwake kwa bed sitter… Kisha akitoka shower aka drop towel kujipaka lotion… Kuona hizo bidhaa in 3D i went for the jagular… After njoti moja ya kimataifa during post coital relaxation dem ananiuliza kwanini umefanya hivyo yet yeye nikiwa juu alikuwa anasema fak me! Fak me… Just told her singeweza resist the sight of the booty… Kweli kutembela dem kwa bed sitter ina manufaa.

nipe number ya yengs kwa inbox

mi nikiwa second year campo siku ya kwanza ku-report niliombwa lapi kitu saa nne usiku. kupelekea geus lapi ikakuwa sleep over ya 7 days ati anaogopa kudoz peke yake. sema kuwa toy boy…

Fool

:D:D Boychild ati “cd uliachia cd player” …Luwere

hekaya swafi sana:D:D

hii tabia ya kupost risto mara mbili uwache…
schupit burray general makende…

@Stinger are you in any way from Roysambu coz pia mimi nilijapata kwa fix kama hiyo.
Nashuku I was second in line from you, juu tangu nimwone na maboy different almost daily niliwacha kuthresh hiyo mali.

Hekaya iko top it should be considered among the best hekaya of the year

Hiyo hekay ni safii

mijinga. unaiba hekaya ya wenyewe. hii tulikuwa tunasoma live, Billy aki type

[MEDIA=twitter]922799595989753857[/MEDIA]

iko sete can relate, imenikumbusha hekaya fulani ilinihapenia juja but me nilikaziwa ikuss jo