Worst Alcohol Ever Taken and It's Experience

[ATTACH=full]260219[/ATTACH]

This here is the worst alcohol I’ve ever taken in my life, na nimekunywa vitu mingi lakini ii imeshinda zote, ilifanya nilale kwa barabara… Na nilinunuliwa na jamaa wa ocha many years ago… Sijawahi isahau.

Wekeni worst alcohol na picha, experience. Ile hata ukiwe bure uwes igusa

Hio ni sumu, kuna mzing (750ml) wa Tiger tulinunua pale latema road kwa shilingi 150 tulipoteza fahamu siku tatu hapo ndipo niliwachana na makali

[ATTACH=full]260220[/ATTACH]

na ukakamuliwa mkia

Furaha.

Daimon ya githinjiro weka ya Dago, huko mimi ni member na Waithaka

kama hujakunywa Flying Horse na Meakins…hakuna pombe umekunywa

Meakins iko sawa, took me through campus

Meakins ni kifo

Poolers

Best. They should just call it Worst. Mupipi was kwao so I convened a meeting kwa crib with my boys na kila mtu akuje na stuff yake.

We all chewed black out tuka amshwa na jirani on sato 2 pm coz mziki ili piga kelele usiku nzima na mchana kutwa. Hakuna kuna mtu alikua na vivid memory vile kulienda so ikabidii mlango ipigwe lock down just incase we were spiked.

Sasa ufala ni ati we still had 3 750s to gulp. Same thing happened. Na hivo ndio nikawacha best

Marry Cane,
Napoleon,
Konyagi.
Bought them at different times take away, a half of each but never got to finishing the stuff before chucking the things out of my window on the 2nd floor to a back alley.

Sapphire Ile ya chura (satchet)

kuna cocktail inaitwa Hawaiian screwdriver…
hio ilifanya miguu zikatae kazi kabisaa,hata sijui ilikua mix ya nini

Mountain bull

:D:D:D Hizi majina

in kenyan market 70% of these spirits are made kwa vichochoro zenye ata hazilipi tax
I know of an Otieno who used to import ethanol ilegally and make all sorts of alcohol pale kisumu when he was shot by some police who went against him kwa hizo biashara no one was willing to take over, only his ‘Wairimu’ gf took over and i hear she is soaring well she wil be a Humphrey league soon.
hizi pombe huwa mbaya kabsa

For those that are older, there was sorghum sake. Worst drink ever. It was christened “songa na mwena ama songa na thutha” in Greek due to its effects on your walking style,!

[ATTACH=full]260227[/ATTACH]
Nilikula black out kwa a certain club in thika (vybes)many years ago…the next day nilijikuta kwa nyumba ya malaya bila hata bob…nadaiwa shot mbili na saa hiyo gari imelala kwa mtaro, imeibiwa battery na starter…i had a hilux pickup then.

The problem is not the drink but the partakers. I took sorghum for years in Kericho(late 80s and early 90s) and nothing as described happened to me. But I have to accept that thing was fire. Asubuhi mdomo ilikuwa inanuka ni kama one had meffi for supper.