World cup Fantasy and Analysis

create your team here https://fantasy.fifa.com/ @kermit unda league mbio

To be honest this shit is hard ideas zikuom priss. @nelo angelo leta ideas, leo nimelemewa

What ideas are you looking for?

The problem with these kind of tournaments, including UCL, is how things move quickly, by the time it moves to the group of 16, upto half of your squad is obsolete, next another half goes, shida tupu having to go back and pick new players…but, wacha nijenge squad yangu…

nimekuwa gambler for a long time na nimewatch vile some countries wana good players lakini they dont play as a team

england
brazil
urugauy

spain (hujaribu kucheza kama team)

some teams huwa na so much faith on an individual player na akipataa injury the team is f4cked

germany now they will always dorminate there is a way the play vile a team should play

lakini mimi niko belgium

wacha tuone vile kutaenda

za mid

[ATTACH=full]175384[/ATTACH]

brazil this time wakileta upuzi za neymar ni kubaya

hizo prizes ni za umeffi. afadhali wangeweka cash prizes

Si ushinde kwanza ndio uzushe
:D:D:D
Fungulia kamuti v3.18.0001.jamesMbond

[ATTACH=full]175403[/ATTACH]
Kwani @kermit hayuko hii mtaa? Code ya group league ishaundwa ama bado?

NV @Deorro what happened to the once famed ktalk soccer prediction site,…fanyeni mambo you bring it back, it will be very interactive during this world cup season.

sasa nikishinda Kia ya 3 mirrion, then nikileta Kenya, KRA waitishe 2 mirrions za tax.

afadhali footsubishi

[ATTACH=full]175404[/ATTACH]

Unakopa hadi maraya wa Paipu, unalipa, then unaiuza 3.5 mirrion. Hizo ni Jug Daniels ngapi?

Hii squad si ushamaliza budget, subs utajaza na hio mid expensive:D

Nimeregister, logged in, nikajikuna kichwa and signed out. Wacha tu ningoje fantasy premier league. Hii ya world cup itanikula tu kichwa ya bure tu

[ATTACH=full]175450[/ATTACH][ATTACH=full]175451[/ATTACH]
My prediction.

[ATTACH=full]175455[/ATTACH]

hii squad nani atafunga mabao?

:smiley: kubahatisha tu

[ATTACH=full]175457[/ATTACH]