Hey cretins. please enlighten me. I know kila msee hapa hujiambia kuna waks huwezi fanya no matter if all things go south.
Currently unaeza kuwa huna job alafu mjamaa akam adai umfanyie kazi, lets say hawking… Unajua kabisa ni kazi hupendi kufanya so wewe unakataa… Does that count in the overall say ya kuwa opportunity ilikam but juu ya ignorance yako ikakupita so unaeza juta baadae…??
Huwa kunaendaje considering your worth , ego na staff kaa hizo… Note this is employment not self employment.
kama kitu itakuletea extra coin, na sa ii hauna single coin, fanya. otherwise kama hutaki hawking enda ukafanye io job unafeel uko worthy kufanya, borake usisumbue watu na mashida zako.
Kitu nakwambia cretin ni,ukiwa peasant you survival instincts kick in na ego worth take a back seat ,I hope ulienda shule ukafunza Maslow hierarchy of needs.asante
That’s because you’re still depending on your parents na unajua hakuna siku utalala njaa, if you would’ve been going at it alone hakuna kazi unaweza kataa
hio nilifunzwa HRM unit nikiwa second year… sasa vile umeongea nimekuelewa ghasia… Lakini hukuget, sio kazi zote anakataa… kuna zenye hata wewe huwezi fanya , pia uchovu na amount of cash inadepend… For example
As I said if you are down to the extreme yaani hata life yako iko ni danger hutachagua kazi survival instincts will kick in ni Kama venye adrenaline rush hukick in when in danger unainua @ moto kubwa Kama yeye ni Eric omondi .
You are justifying continued support ya mtu amekataa Kazi. Kwani hawa wanafanya kazi ya kungarisha Viatu na wamesoma siyo watu. When I didn’t have a job, nilihawk ikashindikana, nikauza mboga nikashindwa. Ilibidi niende mjengo.
So long the job is legal and ethical, mimi nitafanya, sitakua omba omba.
There was an interview maybe 4yrs ago about male prostitutes and HIV. So this guy says he was from a poor family and straight but was introduced by a friend of his to the trade. Initially he slept with women but men started making advances. Since walikuwa wanalipa poa than female akakubalo kuchunishwa sukuma at really good price like 20k per meet or thereabouts.
Assume you are given that option utakubali??
That’s why I can understand stand that hata Kama Ni pesa Kuna line mtu hawezi vuka
Kindly look for another word that means the same as '[SIZE=5]CRETINS’[/SIZE][SIZE=1]…[/SIZE][SIZE=4]This makes you sound out of vocabulary…anyway back to your question;Sometimes your stand matters a lot.kuna job zingine huwezi fanya just cz uko desperate.Kagua the type of job kwanza[/SIZE]
Supposing I paid you to appear in my church and pretend you are an ardent follower. Supposing that I also instructed you to play crazy, shout some gibberish, get into a frenzy and then calm down once I administer some ritual. Would you take this gig? Why?