With success comes hate

Nani ameexperience hating juu ya success… Leta Hakaya kama unayo.

Hate is the price for success… zoea…acha kulialia

Kwanza relatives… luckily for me i learnt the concept of building in silence earlier on. I know it’s tempting to share you wins with ppl but keep you shit to yourself.

ni vizuri ku lie low ata kama uko successful. maskini anajua tajiri, na hapendi yule anajitangaza eti ni tajiri

Mimi ni landlord but nimerent

Lie low, avoid kuenda ocha kila mara, and act like you don’t even have enough of it, uta survive. Lakini if you keep rubbing it on people’s faces utalijua jiji. Yes once umeanza kuingiza pesa uta notice some of your relatives, close family members and even friends wananza ku kuavoid ama uawakuongeleshi. This is especially true if you were destined to be a looser, but mungu akakuonekania.

Sasa ukose kwenda kutembelea wazazi juu ya watu?

Jameni…haifai kufika hapo

Exactly