Witch from afghanistaniiii.

Jana mazee nilipotea Njia!
Hadi Ucku Ukaingia nikaamua Kulala juu ya mti!
Kumbe ule mti Wachawi Huwa Wanakutana pale chini ya mti,
Nikashitukia Wameanza Kuja!
Walipofika Wakaanza Kujitambulisha Mmoja Baada Ya Mwingine!
Wakwanza ‘‘mimi mchawi kutoka Sumbawanga’’
‘‘Mimi mchawi kutoka KITUI’’
‘‘mimi kutoka Naijeria’’
‘‘mimi kutoka Kongo’’
Jamaa nikawa nawasikiliza Akatokea Mmoja,
‘‘mimi mchawi kutoka Afughanistani’’
Mara uoga ukanijia nikaanza Kutetemeka nikateleza na kuanguka katikati yao,
Na mimi nikajitambulisha '‘mimi Mchawi kutoka Mbinguni’
'wachawi wote wakakimbia.
Unachezea Mbingun wewe???

11 Likes

Nimewacha kusomea hapa :rolleyes::rolleyes::rolleyes:

7 Likes

Gumzo poa, mwanzo vile tuko takzin…

1 Like

Mara ngapi nitakwambia uwachane na KK ya Nairobi River?

3 Likes

Nipatie KK ingine coz hiyo Nairobi river imekuwa safi zaidi

Mara nayo Kakizidi kuwanice nice

1 Like

Kweli Nimejua sijui

Seriously IdiAdmin hii ni nini? wacha tuongee tu roho safi. uko na mods wanakula mshahara? seriously, I choose to ask ?

1 Like

:confused: :confused: :confused: :confused: nini mbaya tena

:smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley: :smiley: hii iko sawa

1 Like

Wewe endelea kufikiria mbegu ni njugu karanga…

1 Like

:D:D:D:Dkweli bhangi sio mboka!!

2 Likes

good to see you back after the scare…

2 Likes

What scare?
Was @Atwoli involved?

1 Like

yuu ya mustick

1 Like

Bhangi sio matawi

Bhangi sio matawi