Baada ya kumchukua meddy kagere sasa wekundu wa msimbazi,simba sc wanamsajili foward wa zamani wa man city,cote d ivoire international player,Wilfred bony
Pichani akiwa katika pantoni jijini Dsm akivuka kwenda kigamboni
[ATTACH=full]180087[/ATTACH]
mtawaua vyura mwaka huu
Acha kutuletea habari za kitoto, aliekuambia yupo kwa ajili ya kusaini simba nani.?
tuliza pumbu weweeee
Watapata tabu sana
Bonn kusign timu ya bongo hii ni ndoto ya saa saba mchana haiwezi kutokea
Na kipigo cha mbwa koko
ha ha ha, from $60,000 per week approx to $2,000 per week. duh.
Hongereni Simba naona hela za MO mnaona km zenu vile kila mchezaji mnaota kuwa nae.
atakula 120,000 sterling pounds a week hapo simba msimbazi kariakoo.
Bongo hii??? hakuna kitu kama hicho
Pound 120,000 times 3000 Tshs per Pound Approx = 360,000,000/= kwa wiki. In my Dreams.
Even Simba S. C can pay him this amount or even more