I have had some pretty unfair experiences with cops and sometimes mimi huona kama wananionea. Just recently nikitoka club nikasimama kungoja kunguru ishuke. Handcuffs ndizo hizo. Wakaitisha ID nikawapea. Wakasema hawawezi niachilia. Tukazunguka na wao tao for like 20 minutes halafu wakaniambia nitoe 500. Kama kuna mtu aliniona tao na handcuffs na ananijua sasa najua ashafikiria mimi ni gangster. Siku ingine nilikuwa naenda ocha nikasimama ile chicken inn on your way to Naivasha kwa highway. I bought some chicken and chips in bulk kupelekea wale nephews and nieces wanakuwanga ocha. Kufika kwa roadblock wakanisimamisha kutafuta fire extinguisher. Nikawaonyesha then wakaona hizo wings etc. Mmoja akachagua moja akaniambia nikule. Then wakachukua the rest after nilikula wakaniambia niende na nisiangalie nyuma. I hate cops
Let’s mbisha ya chicken inn ‘ya on your way to Naivaisha’
Am assuming sio ile ya hapo kobil, just after Fly over.
Hiyo. Kwani kuna ingine?? I always stop over hapo juu ya watoto wa ocha kupenda wings
Ok
Pole. Uko na bahati mbaya bro. Why would cops do that to you? Mimi nilishapatikana na squad nzima ya cops landcruiser gari nzima nikichapa vitu kwa barabara. Sisi kuona majamaa tukaketi speedi, dem akanifunika haraka haraka, nikateremsha kioo, mapai kuniuliza nafanya nini hapo nikasema naenda Nairobi. Boss wao akanigotea na wakaenda zao (Do not try this by the way). Wewe kuku inaliwa tu ukionanga na husemi kitu?
Utado nini sasa wakikula kuku za watoto?? Na wanaweza kutafutia hata makosa haziko. Hiyo siku walidai fire extinguisher
Mtu hukaa exhibit ndio huvalishwa pingu.
:D:D:D
Sasa dereva wa Mark X kusimamishwa kwa roadbock ovyo ovyo tangu lini? Inakaa uko na sura tu ya mwizi sugu…madent ivi ivi na zile tshirt na jeans zinakaa ni kama zimetafunwa na ngombe kabla uvae…sema tu ukweli…
and Brownskin looks like one!
Wacha nizivae tu. Siwezi lipa 5k, what they initially asked for, na sijafanya makosa. Waliona sitoboki wakachukua 500. Wakwende huko…cash hungry bastards harassing innocent civilians
Landcruiser ya Kahawa sukari police station ikipita huwa nafeel ka naweza irushia grenade hao wajinga wako ndani wakatakatwe into small pieces. I bet there are some good cops like @pamba but hizo maumbwa tutapatana mbinguni
All cops are the same. Unadhani Pamba ni any different? Sijui ni training gani hiyo ya kukula pilipili huwa wanafanyishwa wanatoka Kiganjo wakiwa vichwa ngumu. Hiyo Land Cruiser ya Kahawa Sukari huokota students sana hapo Makuti.
why would you hate cops? Usha kweli tembea Northern Kenya Vizuri kweli? If not, sharrup!
Unajua hiyo kitambi yako hufanya wafikirie wewe ni mheshimiwa na kumbe ni ya uji. Ile siku watajua utalala central wiki mzima
Ushaijiuliza how comes wewe tu ndie wanasumbua out of a thousand kenyans they come across? Something must be attracting them to you. The many times i’ve driven to western and back, nimesimamishwa, very few times asked to produce my dl, and thats it, am eventually allowed to continue with my journey. Even pale Awasi where speed guns ndio zinashika wasee, sijawai sumbuliwa…
:D:D
Ningependa Saana kuona vile ningeonekana with one!
Its how the heavens get back at you for phucking other peoples wives,kungurus et al.Don’t cry out loud boss,someone else goes through such kind of pain when you empty your balls content onto their women
Brown and HANDsome