Why Captain Obvious Ain't Keen On Having Daughters

Hebu tafakari.

Ile siku alizaliwa ulikimbia social media kupost picha zake, hatukuwa tunapumua. Unajigamba pale ati “my princess, mum” sijui “I will love you forever”, as if wewe ndio wa kwanza kupata mtoto. Yaani kila event unatupa updates.

Ka-mummy kakianza kumea meno…update
Birthday zake…updates
Kakiingia kindergarten…update.
Kaki-clear fourth…update
Yaani social media accounts zetu hazitulii ati juu uko na katoto kachichana

Alafu siku moja unakuwa tagged kwa video kama hii. Unafinya macho ndio uone vizuri. Unavaa miwani, unatoa miwani, unakaribia screen. At last inabidi tu ukubali “kamummy, kaprincess” kako kamekuwa maliar, ama "video vixen"kwa lugha ya heshima.

Unaona pale kijana anakaa chokosh aki-grind kwa mattercore za ka-mum bila huruma. Hata huhitaji kuambiwa ka-princess kako kamedinywa na hiyo crew yote ya machokosh.

So sad bana.

https://www.youtube.com/watch?v=GqFJ4OyeiwM

I unfollowed several pinkies in fb due to this upuzi ya updates

Lady had been married for over 2yrs na bado anapost pictures za harusi

MAra za hubby akikula… hubby posing with their old toyota sedan…

Wivu itawamaliza :D:D:D

Ulifanya cha muhimu lakini ilikuwa unafanya nini Facebook?

saahizo ni Clichy wa uwesmake anashighulika your princess.

You unfollow on Facebook when u opt not to have an individual stories on your timeline …you remain friends on fb but u don’t see their stories

Hio ngoma ni mbaya, my ears are bleeding because of that hook…

Is there a deeper message here…part of the video is shot at Umoja chief’s office? :D:D

Noticed the same too

No, girls are good. Infact nowadays I’m seeing a trend whereby they help their parents more than boychild.

As long as you bring up your kids in the “fear and admonition of the Lord” watakuwa sawa. No matter if they wander deep into the worldly things, in corruption dens and whore houses, they will always remember their sweet mama singing about Jesus and daddy talking about God.

Dedicate them to God early and often.

Bora sio pornstar

[MEDIA=twitter]1024393177422327808[/MEDIA]

Syeeeeeeeet!!
He went out with a bang…or ten :D:D

[ATTACH=full]219966[/ATTACH]

This must be a south african schoolgirl.

FUCK YOU VUJA DE!

:D:D:D:D:D:D ,matercooooreeee matercooooreeee ,hio hook Ni Kali zaidi

Halafu usikie mtu akisema huyu ni mtoto… Huyu anayo uwezo ya kubeba mwanaume.

That is Kenyan… Amevaa toughees

Siku hizi toughees zinaundiwa China.

Atasema ana-copy auntie yake ndie role model.