White maize on sale

Hi,

I have 120 bags of white maize @(90kg) .moisture content is 13.5. Price is ksh.3500 a bag.if you are interested, contact 0718686474

chukua 2300

Location?

heheheh hapa kwetu 90kg bag ni kes 1800

@White maize seller huku hakuna mtu atanunua tafuta soko kwengine

Mahindi SAA hii ni 1900. Wacha ujinga yako kijana. Enda uuzie KBL labda watachukua ya kupika pombe.

Aflatoxin content ni ngapi?

Wapi huko? Hapa Isebania 1kg = 40/-, meaning 1 bag is 3,600/-

Wapi huko? Nataka

Burnt Forest

Najua hizo area za BF. Hapo kondoo, lorian na baiyete. Mrs Kimani na Mr. Ndegwa bado wako Arnersense?

Following thread for future references… @administrator Luna bookmark option hapa kweli?

Chukua 1500 ninunue zote, if ready let me know