Where is Yuletapeli?


It’s weird he is not online. He can’t be number 11 Kwa kijiji. Nashuku pipi ame chukua simu ya elder juu ya kuchat na sister in law

12 Likes

Hehehe @Yuletapeli is the personification of beta male chieth. Siezi shtuka if this is the case

3 Likes

Angalau the ghaseeer imechukua break , KAZI ni kupayuka na kupost tupicha twa ushenzi kila thread kama milaya
Cat Working GIF

8 Likes

Naona attacks kweli kweli.. nilitembea ocha.
Cc: @Mimi_Huwa_Namwaga_Nd, @cortedivoire , @CARTHOZWENY

4 Likes

Ndizi, miwa , avocado, grevillea na Eucalyptus ni symbol ya Nyanza au western.
Ji enjoy kwa fresh air, angalabu mwili upate natural detox.

5 Likes

Naona umepanda miwa kando ya barabara kama mushienzi

10 Likes

Nimeamka asubuhi nkararua miwa… nkachomwa na jua sawa sawa. Kuamka nimeamka saa nne. Feeling energised.

1 Like

Hapa ni area ya grandma.. alikuwa ametumana wajukuu wampatie a visit wapate baraka.

Utatombewa hio miwa vile Tu siku moja watapita na your trusted Ka wife kenye ulitoa nursery school ukaoa

2 Likes

Mnamiss @Yuletapeli na sku moja tu. Ghey

5 Likes

Relaaax…

1 Like

Badilishia nyanyako mabati.

2 Likes

Mbona mnaingilia Bazuu and mathree owner from Joska?

Maybe ako kwa NTSA

2 Likes

So sad na shosho anakunywa hio maji ya mabati. Heri elder atombane kwa danguro na akunywe pombe expensive that atoe shosh kwa block.

2 Likes

… shosho ya mine akona keja yake alitengenezewa but she values ile alitengeneza many years ago akiwa na boy wake. My shosh is over 100 years. Grandfather alisonga ma 1970s huko.

Read my post hapo juu.

Badilisha iyo mabati ndugu Wacha maneno mingi.

2 Likes

Enjoy the fresh air unlike talkers living in tin houses.

1 Like

@CARTHOZWENY ananipiga sweep na anakula vumbi ya mchanga rao pale kitui…

Mizta ni aye! Ndengu ulikataa zinifikie… na vile sahi nko a gari ya mizigo naweza fungua baze ya ku supply cereals kama ndengu, beans, na njugu.

1 Like

Ni juu leo hana pesa za muhindi za kulipa wasee wa mjengo na wasee wa ku unload mchanga.

1 Like