Where can I get this machine?

Nimekosana na mtu fulani na lazima nimpe funzo…

http://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/c/c3/B-2_spirit_bombing.jpg

1 Like

Kushikilia grudge ni kama holding a burning coal in your hand waiting to fling it at the one who wronged you. Angusha makaa uendelee na maisha yako.

6 Likes

kama serikali haiwezi afford, wewe ndio utaweza?

1 Like

Hizo makaa ndio nataka kuangusha

1 Like

LOL…

Sweety nimekumiss

Wacha njaa, fisi wewe, kwani umeamka umesteady?

Wanaume wote huamka na morning wood. Wewe kama hauna then kamwond @Luther12

Calling the doc asap.

:slight_smile: :slight_smile: Reminds me of this:

http://bens.tips/how-to-pee-with-morning-wood/

[ATTACH=full]6411[/ATTACH]
:smiley: :smiley:

3 Likes

ndio maana kuna morning glory

Eeeh nimembao vinoma, nikuwekee picha?

Nauza sidemirror ya hiyo machine

1 Like

ukiipata nishow,you just reminded me of my previous employer.

Kujia bata mzinga yenye imekulishwa ndhom kwangu. Cost=free.