When you see it ... (Huruma Survivors)

Rabbits that were rescued from the collapsed Huruma building

[ATTACH=full]39353[/ATTACH]

6 Likes

hio ni mboga…

1 Like

a chance to bust a nut…

1 Like

Yaani kuna watu walikuwa na sungura in a 6 six storey building? Yenyewe Huruma ni ocha. :slight_smile:

13 Likes

huoni hata nyumba iko kando ya mto so labda hata walikuwa wanavua samaki kwa hio mto

10 Likes

Mbona izo sunguch zina shine eyes kama mungich @Wakanyama

3 Likes

unafugaje hizo vitu kwa hao na vile mkojo yao hutupa hivyo

1 Like

@wong hujaambiwa poa hapa

It beats logic how someone lives in the same house with rabbits.smelly little animals

:eek::eek:

Whoever was the owner of the bunnies belongs to the village, just like me. Town hata na dawa siwezi ishi. Mimi mahali niko lazima pawe na cows, goats, cats, chicken, dog, birds and rats.

4 Likes

look at the pair of rabbits on the extreme left…

1 Like

Wacheni ujuaji. Rabbits zilikuwa last floor.

sawa, caretaker…ulisurvive namna gani?

Nilikuwa nimeenda kusaka gilbeys ya kupima.

4 Likes

They are still ferking after survival. Hardy creatures

hiyo ni fisi in sungura clothing

1 Like

it was something to boost morale in face of adversity…