Whatsapp+ users wamekua banned… Ilianza jana… Watubwenye wako na modifications za version 6.70 ama 6.72 ndio nadhani wamekua affected
Mimi natumia 6.50 na sijakia banned… Maeby juu sina google play services na market too
Kama unatumia whatsapp+ na huja banniwa prepare
This is from a banned friend… Yesterday
[ATTACH=full]635[/ATTACH]
Na pia hii
[ATTACH=full]636[/ATTACH]
1 Like
kiki
2
@kiki asanti bro… pewa keg … wacha nisaidie a friend…
Where’s the download link for the fix?
system
6
Kuna xposed modules u can use to mod official whatsapp app.
kiki
7
1 Like
Ella
8
Zarina wewe! That got me laughing hard!
1 Like
And so my friend got banned again
[ATTACH=full]660[/ATTACH]