What Network Equipment Do Airtel Use?

SafariCON use Huawei. Ukijuana na watu Safcon unaweza kupata Managed Switches za nguvu sana at a throwaway prices. Safcon wakifanya upgrade hizo vitu hurushwa kwa warehouse and there is no follow up and most of them are in perfect working condition.

  • Cisco goods ziko kwa wingi huko
  • Huawei pia
  • Years ago they had many Alvarion radios za Wimax but these days UBNT zimekidhiri


Vitu kama hizi

Huawei S5731-S48P4X 4810/100/1000BASE-T ports 410GE SFP+ ports PoE+

Ama D-Link wazimu kama hii, Ksh 102K kwa duka but ya beckdoor hata 25K utapata

D Link DGS-1210-52MP – 48-Port Gigabit Smart Managed PoE Switch with 4 Gigabit RJ45/SFP COMBO ports.

Ndindu unapenda magendo zaidi. Kama kasongo.

4 Likes

48 port switch unapeleka wapi kama huna cyber or managing a house help bureau where they are trained to use computers before they start working

2 Likes

Naipiga bei. Mimi ni dealer wa vitu mingi

1 Like

Niuzie na kilo I strip it for the components, I’m not sure if they’re still built with gold though

Gold ama?

Tafuta older generation PCs ziko na copper MINGI na aluminium.

What components do you strip? Chips?

airtel huload kama shondeh za kapoti

Gold. Both Pinless and Pin Processors za kitambo zilikua na gold quantity enough

Hizo PoE unaweza tumia na IP cameras. That’s 40+ cameras enough for a high-rise building, na ports zingine utumie na Smart TV, PC or any other IOT device.
Managed switch inkuaga hotcake in this day and age.

1 Like

Good idea.

Using POE Switches to Reduce IP Camera Cabling & Increase Range

1 Like

Erikana, umeiva networking

Ubiquiti is the king of network equipment

Sina certifications but hakuna system ya IOT siwezi configure.

Nikisha jua range of IPs whether static or Dynamic na nipewe necessary credetials baas. Saa hii naset NVR ya Hikvison kwa PCs kadhaa but kuna za mbili za Linux and the client wants to be able to view them remotely. Ni kurun updates then ni install client software ya IP cams inaitwa Xeoma

2 Likes

blunder ya CISCO ni charging for annual licenses. Hio kitu ilinitoa huko mbio.
Atleast hide it behind cloud storage bundle.
Halafu cisco ziko na short life support timelines, product inawacha kuwa supported after 3-4yrs, when next generation comes along…which may not even be backwards compatible.