What killed this married man..most deaths siku hizi ni married men

Sasa huyo witnesses amejiletea shida..atasingiziwa walimrusha na khupipi.Mtego wa panya huingia waliomo na wasiokuwemo

1 Like

I can imagine dealing with the very best NPS D- team that will carry out the investigation. Hawa wawili wataozea ndani if at all the mkufi didn’t leave a farewell note.

Hii ndio sababu ya kuweka cctv mpaka kwa choo

Good riddance. We need strong men to make wantam a reality

The way he is posing showing his ring tells me he was a simp mwenye alikuwa amekaliwa na khupipi.

1 Like

what will you be checking :grin:

1 Like

People just drop and die, iko wakati nilinunua ka 3brm hapo greenspan estate through a polite lady lawyer. A few days after wiring cash to her account simu ikakua mteja. Nilimtafuta kila mahali nikipiga kambi kwa ofisi yake. A week later i got a call from her secretary saying she had passed on, alipatwa with foam in her mouth kama mlango yake ya nyumba imefungwa.

1 Like

Looks like suicide. Alimeza poison. Hii stress ya uchumi ya kathiongo inamaliza watu.

It is high time we established crime labs in every sub county.