ni moment gani ushaiwish dunia inaweza pasuka ikumeze fulufulu…hehe
so day fulani nilikuwa naenda tao shughuli shughulli ivi,…so mimi huyo mpaka stage nimeingia mat nikajisunda io kiti inakuanga karibu na conda…gari ikaanza kwenda alAfu conda akaanza kuitisha fare…hehe nikakumbuka niliacha wallet juu ya meza wakati nilirudi kutafuta keys…so nikaanza kujifanya natafuta pesa kwa mfuko kumbe ngoo sina any… so fare ya kila mtu imeokotwa conda ameniangukia…nikamwambia in a low tone…boss nimesahau wallet si nikurushie kacredo ivi ama mpesa…awa maconda huwaanga aje…akasema na sauti kubwa…“sasa wewe na venye umevaa huna pesa ya kuenda nairobi” fuuuuck half matatu inacheka sasa…aibu iliyoje…so namwambia tuliza boss.naye hawezi tulia ati…“siwezi tulia boss…kama hungekuwa na pesa ungetembea bana…na ukicheza utashika sai” sa izo ni hapo after umepita githu…haskii na haskii chochote…luckily kuna msee akaniambia nimtumie na kutoa mpesa anipe cash…tangu io siku the first thing kabla nitoke ni wallet
though sometimes one can’t help. Just this morning I had to go back for mine. Jana it was my business phone…
when a young man there was this girl I used to see. I would pass by their place and then she would come to a bushy area of their farm. I do not know how the mother discovered but we were walking with agemates one afternoon when we met her when afterwe greeted her she addressed me by name and said…“Na wewe G sitaki hayo amtembezi unatembea kwetu. Kama ni kutembeya upitiage kwa gate…”. Needless to say I was tongue tied…
“The most embarrassing moment” that really made me laugh out loudest ilikuwa ya @MAKAVELI aka @Ka-Buda ya kurushiwa lunch box after forgetting it in a mat, hit the tarmac ikafunguka na kurusha ka-ugali na ka-sukuma wiki hewani…:D:D:D:D:D:D:D:D:D
Wacha nifikirie my most embarrassing…
Hiyo ya mat I always sympathise,if I happen to be in a mat where the concodi analetana juu na customer because of lack of fare,I usually volunteer to paypay,sijui Ni kwa mini but its just in me,I hate seeing people suffer