What I am doing wrong?

Hi Guys. Uncle best tena.

Usaidizi hapa tafadhali. Since my girlfriend left me? I decided to join a ka local dating site. Huku kuna warembo dark and nice vile mimi hupenda. Na age yao iko tu sawa. 22-27 (my preference).

Once I identify, I like then say Hi. After sometimes, the lady (s) reply Hi and bass nasema haka nimewai. Nikiuliza how is your day they always go silent. Niko na kama 20 nimefikisha hapo. Hadi najiangalia na kujiuliza nini mbaya kwani.

Kama ni chapaa iko. Coz nikilipa bills na nisave, nabaki na kitu 33k. Hii I can comfortably share with a lady mwenye anakaa either Eastlands, ama some parts za city bora nisilipe rent ya kwake.

Kama ni sura. Iko coz my ex used to tell me I am average yani kitu 7.3 out of 10.

Masomo nimesoma tena sana.

Miaka sio mbaya niko 3rd floor.

Gari: Sina lakini najuana na madere na makanga karibu route zote isipokua Kawangware 46. So tutabebwa sare na fare iko (reffer to 1 above).

Story najua kupiga kuandika tu ndio inanilemeanga osungu.dll

Roho ni safi kama pamba. Sina kinyongo na mutu yeyote isipokua my ex. Lakini nitamsamehea next week.

[ATTACH=full]47755[/ATTACH]

So sijui ni nini

gio-ism at its best

last advice ilikua ununue viberiti in packs, did you implement that

i think shida inaeza kua hapa. You see,most women think that most men are just the same and shez probably looking for someone unique. Wamezoea kuulizwa hio swali sana hadi its now boring. Re-event yoself. Hadi presents always try to think of something no one has ever bought her

Nikupatie throughpass ya Instagram?

Your problem is that you have low self esteem.
Low Self Esteem - Believing that there is something innately wrong with themselves, these low self esteem sufferers experience self-esteem attacks (often called panic attacks) when they do something they deem to have been stupid, something they think others have noticed, and something that confirms their own feelings of inadequacy.

Lack of Self-Confidence, those with low self esteem generally become either
overachievers or underachievers. Some are angry and are driven to prove their adequacy-often becoming very successful as the result of their low self esteem . Other low self esteem sufferers remain in unsatisfying and or abusive relationships, remain in jobs where the pay is poor and the benefits nonexistent, give up on their dreams, and float through life because they are convinced that trying to change these factors will result in failure, humiliation, or being alone. People who lack self-confidence are very needy. These are self-defeating behaviors that low self esteem sufferers repeat over and over.

Work on your Self Esteem and chiqs will come your way, I give you my word.

tuma pic ya chapo kwa inbox…sema umepika na iko marinated na tomatoe juice. usimpe time aulize maswali hard juu ya osungu umesema ni faulty, jazilia mwisho kusema wategea waru ido simmering na avocado…hapa key word ni simmer na marinate. then lenga mtu, kesho yake fungua inbox nanii. Thank me na kienyeji sasa.

:smiley:

Acha nimalize kuchota maji nikam nikujibu
[ATTACH=full]47756[/ATTACH]

Log out on that dating site and meet chicks one on one. You will fail once in a while but practice practice

You know how many dudes use the same opening line “hi”? In her inbox there is like 50 or more of you guys. Why would she reply to your “hi” instead of the other many bland “hi”. Use something else that will easily catch her interest

Like which one now

Toka nje utafute wasichana kama Mwala na papa shirandula anaeza pata wake huwezi kosa

Dating sites are a sham kwanza za Kenya.

hahaha

Andika hiyo story in your intro…

contact @Okiya

ama wacha tu

Toka nje tembea,au be intresting,angusha line kama za nigerians scammers,pimp your profile ,or you are targetting women beyond your league?:cool:

Word

Sitaki mtu wa kuchapa tu alafu nipotee nataka wa kufuga

Lower standards kiasi.

Those “high class” ones never reply. Labda wanatafuta millionares.

My experience on badoo.