watu wa usiku bado tuko on…
what do you do talkers??? ur job ama biashara
u never know biashara inaweza anguka apa
mimi am a web desiner cum academic writer
watu wa usiku bado tuko on…
what do you do talkers??? ur job ama biashara
u never know biashara inaweza anguka apa
mimi am a web desiner cum academic writer
Jus landed home, mimi huwa online hustle zangu tu. Hakuna boss ila meme. Background unajua, got my own sites, seo god etc.hayo two
Hii holiday imeisha faster sana imefanya hii wiki tukue na monday mbili sasa
mimi ni hustler… betting ndio zangu
mimi nakuwanga muthurwa stall B198, graphic design mostly. Na niko na shares kadhaa Forward travellers! Kujeni munipromote works
Inafaa munilipe ,hio forward niliwafungulia bara bara.
hehehe
mimi huserve chai kwa investment arm ya one of the major insurance companies in Kenya, lakini side hustle ni ku supply sukari kwa hiyo firm using a different name
Ranges between 4k to 25 K, depends na size. Napenda kazi yangu juu nakula miraa sahii unlike some ninjas wako kwa ofisi wametuck in shirts kama tutoi twa shule
NA si hapa unajianika kakabrassa?
Kwani this is an illegal site? acha nijimarket biz! karibuni mogoka! na niko na sister anaitwa maryanne tuko job pamoja.
Hehe, ilikuwa ni nani sister yake ako na biz kayole???
[ATTACH=full]18567[/ATTACH]
i am an accounant kwa muhindi,on the side i do my accountancy services kwa start ups
Uchokozi namna hii sio mzuri Monday morning.
Na work kwa office ya MCA umoja
mimi ni salesman
Ndio maana unafikiria ni Monday! Acha kufanyia muhindi kazi
niko mjengo with a lil’ consultation on the side… simiti imejaa kwa akili
:D:D:D:D
Oops, hizi ma holiday za midweek haziletagi shangwe.