[ATTACH=full]384705[/ATTACH]
Don’t ever touch it …its bad
Vices, and never trust a person without one.
Sijui kwanini Daddy huwa hataki nionje hii soda yake.
Why does it look kama ametembelea singo matha flani? Huko ndio pombe na ngono huwa hazifichwi without caring kama kuna mtoto.
Mtoi wa singo matha
Clearly not his child. Huyo ni mtoi wa muethiopia au mzungu. From the furniture and fine white dust on the sofa chair kunakaa coast, probably one of those mtwapa women that give birth with old white dudes
Sithani kuna mwanaume wa skuizi aneza kubali sofa itandikwe na uto tu vitambaa!
Si kwake uyu
Huyo mtoi anakaa kufikiria hii ghaseer inakam kukunywa soda ya watu wazima huku kwetu si irudi ikunywie kwao
Mwanaume bwege mwenye hana maarifa, anafikiria io njia anakanyaga ni mzuri kumbe yampeleka pabaya
Lete hekaya wacha kupitia mbali.
I see @Mangele struggling with hard questions about that little person, as the kid wonders what’s in his glass.
Nyumba inakaa mzuri lakini bona anunue TV ya Ramco? Makes everything else look cheap
Wacha nifunge macho nione kama kataonja. Matching shorts, thats his baby girl.
MWANAUME MZIMA UNAKUNYWA POMBE YA WAMAMA WINE AJE
Teefee ya ramco iko wapi msee? Kwani Niko na picha tofautio_O
Pole I meant Armco…sikuwa nimesoma brand name vizuri
Wapi teefee man!?
PNC
Wacha zako elder. Ama umefungua picha na kabambe