Religion hapa naona itamulikwa sana
Corona is the freakin equalizer. Saa hii hadi unapigiwa na kunguru ukujie supper 5.30pm wakijua kuna curfew,mimi ni nani? Wahenga wamenena juzi,heri upigane rungu ajitafutie P2 kuliko upatwe na pamba akulime marungu uamkie p3