Wewe ni mtoto wa 9, unazaa watoto 2, mama yako angezaa 2 ungeiona Dunia!!!

Una kipato cha kutosha, Mama na Baba yako walikuwa hawana kama wewe walizaa watoto zaidi ya 9.

Unasema watoto wengi hutaweza kuwalea ilihali una una uwezo wa kuwalea na kuwatimizia mahitaji yao yote, Mama na Baba yako ambao hawakiwa na huo uwezo waliweza kukulea wewe na ndugu zako wote zaidi ya 9 tena kwa kutegemea kilimo cha mvua za msimu.

Ninyi watoto mpo zaidi ya 9 ila mnashindwa kuwalea wazazi wenu 2 ilihali wao 2 waliweza kuwalea ninyi zaidi ya 9.

Hao watoto 2 uliowazaa unawalea malezi ya kuwadekeza hadi wanakuwa wakubwa hawajui hata kufua kitambaa cha kufutia kamasi, ukiugua hawawezi kukusaidia kisa malezi uliyowalea sio yale ya kujituma na kibaya zaidi kutokana na hizo tabia zao wakawa ni watoto wasio watiifu na kuwathamini wazazi wao, msaada unabaki kutegemea kwa majirani hadi wanachoka.

Ivi unajua anayegawa riziki ni muumba!!, kila mmoja anayezaliwa anakuwa na riziki yake ndio maana wazazi wenu waliweza kuwalea ninyi zaidi ya 9.

Fyatueni watoto bana( in Jiwe’s voice )

Wasukuma huwa si wamchezo mchezo katika suala la kufyatua

Kuoa/kuolewa ni sheria … kuzalisha/kuzaa ni majaliwa.

Wazazi wetu walikuwa wanagonga misosi ya maana. Siku hizi watu wanakula chipsi yai wanashushia na serengeti lite. Matokeo yake wanawake wana vitambi na wanaume wana wowowo… shahawa kama sabuni imekutana na maji

Ya Ngoswe Haya

Watano itapendeza kwangu

Ivi Jiwe kafyatua wangapi?

Uko sahihi Babu, ndio maana wengine washapachikwa majina kuwa eti ni Wanaume wa Dar

Kazi mojawapo ya Sanaa(Tamthilia kama ya Ngoswe) ni kuelimisha.

Hiyo elimu utakayoipata iwe ni yenye manufaa kwa maisha ya kila siku

Kwa kiwango cha chini inapenda sana

We ni msukuma?

ndio Babu

Hivi kwa mfano mie nahitaji watoto 5 mme hataki kuna namna kisheria naweza kumshtaki?

Si ni wewe unayepata mimba? Basi unajua wakati wako wa fertility

Basi fanyafanya ufyatue angalau 7 bhana

saba nitashindwa make nipo na speed ya kobe

Alisema atafunga sijui mirija kwa siri, nikigundua kafanya hivo naweza kumshtaki?

Zama zimebadilika mkuu

Cc @Smart911

Sisi tulizaliwa wawili, na sasa nimebaki pekeangu! RIP Bro! Na nina watoto 9! Hv siwezi kumpa @Evelyn Salt wa Mkopo?

Wa ndani wenyewe hawaeleweki ila Alifyatua hadi nje yule

Pole my dear kwa kuondokewa na Bro
watoto 9 mama wangapi :smiley: