Wenye forum, kujeni hapa

@admin, @Deorro , @ol monk @Electronics4u @Mundu Mulosi

Mbona nikijaribu ku-upload mbisha inanionyesha hivi…[ATTACH=full]11630[/ATTACH]

Yet the file is an image?

Nimetry kuchange file type from jpg to jpeg, gif, png hata bmp bado imekataa

Chukua screenshot ya hiyo mbicha, then crop it and save it again. This should work

Wacha hata mimi nijaribu. Nothing of mine has been uploading. I thot maybe my fone had issues

Mbisha gani ulikua unatry ku upload? Maybe your fone is really trying to protect you from Deorro’s equator

Testing
[ATTACH=full]11636[/ATTACH]

Try changing the format using a photo editor, kama Paint, then upload.

Quality si itakuwa compromised?

Inakataa some zingine inakubali

Hii sasa mpaka baadae

Vile vuja dick amesema

Hata yangu imekataa for a few weeks now.

Nitumie kwa email…shirtless.

Mandazi ndio malipo!

Yeah;)

1 Like

https://s-media-cache-ak0.pinimg.com/736x/41/91/0f/41910f5a476b2b7e4648b6f0dc1e6b9f.jpg
There you go. Direct link, no upload.

:D:D:DThe devil is a liar

2 Likes

Simple. Rename the photo and save. Then upload.