Leo ni kujichocha venye tutachafua the ‘best team in the whole continent’ in their own turf. This is the day Barcelona’s superiority will be put to test by the best team in England and London to be specific.
Haya basi, leteni predictions.
Mimi nimecheki squad na naona licha ya kubanduliwa, tutatoka huko na ushindi wa tatu kwa mbili.
Haters kaeni chonjo mtazame kabumbu.
[ATTACH=full]34144[/ATTACH]
Your dreams are valid.
This is what is called reckless optimism
Gabriel and Mertesacker hawawezani na MSN
AFTER ARSENALI WAFUNGE BAO MOJA THEY SHOULD CHANGE TO 1:9:1
Mpira hudunda
Game hutegemea strategy. Per hakuna kuvuka half-line
[ATTACH=full]34150[/ATTACH]
NIMEWEKEA BARCELONA 20K KWA SPORTPESA WATUCHEMSHE KAMA MAHINDI NGUMU
2nd win happening today
Weka screenshot hatutaki hekaya
ENDA PALE CHELSEA UULIZE BIBI YAKO SCREENSHOT
[ATTACH=full]34151[/ATTACH]
LEO MESSI AMA NEYMAR AJARIBU KUJIANGUSHA KWA BOX
[ATTACH=full]34154[/ATTACH]
[ATTACH=full]34156[/ATTACH]
this ref was a badass…
hehehe…
hata wakaweka 11-00-00 ,hii ni hkm hadi blisters zitokee
Waah memories of 2002 World Cup final…haka kamzee kalikuwa incharge
I’m ready with my physios
[ATTACH=full]34160[/ATTACH]