Wenger Out Sacco

Arsenal v. Cologne game delayed because too many Koln fans are making it hard for people with tickets to enter the stadium.

Thursday night football bado iko?

Everton imekamuliwa 3-0.

1 Like

Match delayed

Yaani Koln fans wanakuja ni kama wamefika UCL semi final:D:D:D:D Jinga saidi…meanwhile blunder za Ospina zishawasili na canter…

1 Like

EBu kwanza tufanyie orientation. Choo za Thursday football huwa pande gani?

Holding pia anakimbia mbele anaacha spaces nyuma, ElNeny anafanya kazi ya ziada.

L loading…

1 Like

Robbie alisuggest wenger arudishe ile system ya 4-3-3 kwa leo, and i understand sababu. Lakini guka ni nani…

1 Like

Cologne fans wana kelele mob sana.

Inabidi Kolasinac na Wilshere waingie.

Wenger ni meffi

Wilshere tu. Na aongeze maYout; kina Nelson, hii sio kikombe ya kusumbukana nayo…

[MEDIA=twitter]908428275650834432[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]908422118018289665[/MEDIA]

Acheni Wenger munataka awe akiambia wasee wake wote wakuje

Mechi iliisha aje