Habari wana KenyaTalk, najua hiyo title imekuletea doubt, ila ngoja nijaribu kukuelezea jinsi utakavyoweza pata hiyo hela, ila kabla ya kusonga mbele lazima nitoe angalizo.
-
Hautatumia hela yoyote kwenye hii fursa, hapa itakacho chukua ni muda wako na akili tu.
-
Hii ni company mpya na mimi sina uhusiano nao wa moja kwa moja, so inaweza ikawa hizi ahadi zao zikawa hewa au zikachelewa kukamilishwa.
-
Pia lazima uwe na vifuatayo ili uweze kusonga mbele, kama hauna endelea kusoma ili upate ujuzi tu, ila lazima utakwama.
a. Lazima uwe na valid Passport, hii itahitajika kuhakiki kama ni mtu halali
b. Lazima uwe na bank statement, au credit card statement, hii ni kuhakiki mahali unapoishi, so ata kama ukipata barua ya serikali ya mtaa… iki onyesha kuwa ni mkazi wa sehemu fulani… Jina lako full na signature (Kwa kiingereza) unaweza kukubaliwa, ila zaidi uwe Na Passport.
-
Haupaswi kutumia janja janja, kwa kufoji vitu, ili utegeneze account nyingi na mwishowe upate reward kubwa. utashtukiwa tu.
-
Cha mwisho sio angalizo ila hii ni muhimu sana, Ungana nna group mpya iliyopo Telegram hapa:
[ATTACH=full]252978[/ATTACH]
Hapa, tutakuwa tuntoa maelezo na kupatia updates zote, na pia step by step tutorial, jinsi gani ya kuhamisha hizo EVEN kwenda mobile money kama M-Pesa / Tigo Pesa, nimeona pia kuwa kuna watu wanaona kuna ugumu wa kubadili crypto kwenda mobile money… ila ni rahisi. Pia tutakuwa tuaweka fursa zingine… maana zipo nyingi.
Na policy ni moja tu… ndo maana inaitwa FREE CRYPTO TZ, hautatoa hela yoyote, jiunge uweze kuelewa zaidi kuhusu crypto na kuzipata bila kuspend hela… utakachowekeza ni muda wako tu na firka basi.
Ok sasa ni maelezo kidogo… website au project ninayozungumzia ina itwa EVEN FOUNDATION, hii ni cryptocurrency ila katika very early stages, iko based na ETHEREUM kwa watu wanao fahamu kidogo wana ijua ETHERUEM, sasa kwa wakati huu wa mwanzo, wanapromote cryptocurrency yao … na wana program ambayo uki invite mtu ajiunge na kukamilisha uhakiki wake, kwa Passport na Bank Statement… unapata 920 EVEN… na open market value ya EVEN 30 ni sawa sawa na USD 1.
so ina maana 920 EVEN ni sawa sawa na 30.7 USD, ili kupata hii unatakiwa kwanza.
- register hapa :
https://evenfound.org/?ref_code=o9ao7q
-
Ukisha confirm email tu, utapokea EVEN 500 ($16 = 1,711 KES)
-
Ukihakiki account yako kwa kuweka Passport na Bank/Credit Card Statement utapokea 420 EVEN
-
Hapo jumla utakuwa una EVEN 920 ($30.7 = 3,180 KES)
Process ya uhakiki ni fasta tu… mimi walichukua masaa mawili tu baada ya kuwasilisha hivyo vitu.
PIA TAMBUA KUWA, KAMA HAUTOWEZA HAKIKI ACCOUNT YAKO HUWEZI KUWITHDRAW HIZI CRYPTO
[ATTACH=full]252979[/ATTACH]
- Pia haishii hapo tu wana task ndogo ndogo, ambazo unatakiwa kushare kuhusu hii program… kupitia … Instagram, Youtube, Twitter… kwa mfano:
wanakuambia… post hii habari kuhusu EVEN kwenye timeline yako ya facebook alafu tupatie link, watahakiki na kisha unapewa 100 - 300 EVEN na unaweza fanya hizi task na kupata mpaka 5000 EVEN ( $166.7 = 17,300 KES)
Mimi nimeshafanya task na kupata 2240 EVEN ($74.6 = 7,722 KES)
[ATTACH=full]252981[/ATTACH]
Pia wana referral program… utapata referal link yako na kisha utainvite wengine wajiunge chini yako…
Wakiconfirm email na kuhakiki account yako kwa Passport na Bank/Card Statement… wewe utapata 500 EVEN…
So jumla nina 4520 EVEN ($150.7 = 15,600 KES) kwa kufanya hayo maelezo ya juu tu
[ATTACH=full]252982[/ATTACH]
Kuhusu kui withdraw… hili zoezi lita anza tarehe 19/8/2019, so nimuhimu kujiunga na telegram group, ili uweze kupashwa habari, na kupata step by step tutorial jinsi gani ya kuzitoa hizi na mwishowe kupata mobile money m-pesa/ tigo pesa.
Kama nilivyosema mwanzo hapa utainvest muda wako tu, so ziwezi kukudanganya na kukuhakikishia kuwa hii Company itakamilisha ahadi zake kwa 100% ila kwa kuwa haitakugharimu kitu… jiunge sasa ikifika muda wa kupata hela yako utavuna matunda ya muda wako uliowekeza leo… pia kwa sababu ni crypto wakati waa kuexchange price inaweza ikabadilika… so unaweza pata ata mara 5 zaidi au ukapata mara 5 pungufu.
Huu ni mwanzo tu, program kama hizi zipo nyingi, na jiunge nasi uweze kuendelea kuzifahamu.
Mwishowe nitatoa mfano hai… ilikuwa mwaka 2012, kuna mtua katika forum pia alipost kuhusu Bitcoin, hii ilikuwa progam ya website ya coinbase.com wakati huo wana anza, walikuwa wanatoa 0.1 BTC kwa kila mtu atakae jiunga katika website yao… pia kama wewe unajiunga na unamleta mtu basi unapata 0.1 BTC.
Mimi nilijiunga na wakati huo 0.1 BTC ilikuwa ina value ya ($1.08 = 111 KES)
[ATTACH=full]252983[/ATTACH]
Sema nilkuwa sina ujuzi sana, na siku kaa nazo sana nikauza, ila leo hii 0.1 BTC ni sawasawa na 1084 USD = 124,791 KES
Hi haimanishi kuwa EVEN nayo itafanikiwa kama Bitcoin ila huu mfano uoneyeshe kuwa kuna wakati mwingine, unaweza fanya kitu kidogo sana, ukawekeza muda na akili tu na ikazaa faida kubwa.
Karibuni sana wadau kama ulikuwa unakiu sana ya kujua zaidi na kuwa na amount kidogo ya crypto ila ulikuwa na wasi wasi unaweza poteza hela yako, huu ndo wakati wako maana hapa hautawekeza ata senti.