Weekly shopping ya jaluo

2 Likes

the biggest mistake you can do in this economy is to shop in a supermarket.Hizo vitu zote amenunua Enigma can get them for 9,000 only.Beef is only 390bob pale burma,yeye ananunua mia sita kilo.Matumbo is only 180 pale burma,yeye ananunua 500 bob.Hio box ya maziwa amenunua 720bob is only 410 in eastleigh.Huyu akoko ni mjinga saidi.

4 Likes

Hapa amenunua nyama ya 7k si angebuy Tu mbuzi full

huyu intention yake ni show off tuu

1 Like

But that is how many of us shop and we are kikuyu and not jaruo. Go to any supermarket hapa nairobi and see for yourself.

1 Like

@anon46421834 chanua sisi please where exactly do you get them

1 Like

Wacha niwachanue.Stuff zote za kutumia kwa hao eg sabuni ya kuoga,toothpaste,handwash gel,washing powder etc enda kwa whole salers pale Eastleigh.kuna Rage na Alkhama wholesalers.Wako na branch hurlingham opposite java shell near DOD.Utapata vitu 30%-40% cheaper.Tissues na masabuni enda nyuma ya milano ya ronald ngala.Kuna ka lane hapo kabla ufike kwa ma nossan za kuenda ruiru bypass membley.


10pack ya tissue kama hii hapa chini unapata na 180bob.cheapest 10pack pale quickmart ni ksh450.Halafu maziwa pia enda Eastleigh.12pack ya KCC goldcrown utapata na ksh450 kwa hio barabara mse hukonect from eastleigh to jogoo road.kuna ma milk depot nyingi sana huko.pia utapata ma milk powder za kcc na nestle zenye zimekuwa smuggled thru kismayo.Cheapest 12pack ya maziwa pale quickmart ama naivas ni ksh720.
Nyama na kuku endea burma.1kg of beef is 390,1kg of mbuzi is 400,1kg of matumbo is ksh180,kuku kienyeji is ksh700.Cheapest 1kg ya nyama pale supermarket ni ksh600.Maini nayo cheapest ni 500 per kg pale naivas.cheapest kg ya matumbo naivas ni ksh400.
Ulitaka plug wa nyama legit pia unaeza sema nikupatie number.Ngombe zake ni za kutoka ma ranch za kajiado na narok,purely grass fed.Sijawai kosana na yeye for the 7years nimekuwa kastama.
Niko na a stupid bro in law alikuja kuishi na sisi akadai ati hakulangi matumbo.Ilibidi nimeambia wife kama bradhake hakulangi matumbo ikifika wednesdays siku ya matumbo amlipie ndege aende akule kuku kwa babake kisumu.
Uzuri ya kushop eastleigh ni unaacha gari kwa the biggest mall in africa halafu unapoga laps na tuktuk unalipa 200.Una buy vitu unaeka kwa boot ya tuktuk then ukimaliza anaki drop kwa mall.Tuktuk is important coz of the hectic nature of eastleigh.Its easier and faster to move around with a tuktuk than with a car.Ukienda eastleigh shopping usiende na wife so that ukimaliza unaenda nyuma ya medina hotel unaosha rungu na msomali pengting for 800bob then unaenda home.
Hii uchumi ya kenya kwisha haitaki show off za ujaluo kama wee sio mwizi banae.

10 Likes

Si kwa ubaya mbro lakini hio kidole kinakaa cha homosexual

2 Likes

Hehehe sawa.kuja nikutekerenye ndiasa uskie dheedhee kama my dear rafa @TrumanCapote

2 Likes

Eastleigh wapi hasa

Next week napata idhaa na land huko. Na vile Huwa naenda hizo sides meetings na hao ma walalo wakidai tuwachapie shughuli. Burma ndio place siwezi taka kufika tena

1 Like

Masta nime update thread with all details mkuu

1 Like

Nimecheki. Enyewe supa hukulia mtu sana

1 Like

Clearly she doesn’t care to look for bargains. Who the hell buys meat or vegetables at the supermarket?? Either ni show off (most likely), ama ni sonko (the Runda types who shop everything kwa supermarket), ama ni fala (middle class anajiweka class hayuko). Butchery, mama mboga, etc ni wa kazi gani.

Mwenye supermarket is definitely a very happy person. Ukipata just 300 customers kama huyu unaomoka musooori.

3 Likes

:rofl: Whatever you have saved unatumia kuosha rungu.

2 Likes

Kama hakuna lube na cd si shopping

Uko Medina hotel lazima tufike

Hao wasomali huuza coomer 800.thats a tiny amount ya kuambia mwili pole after ku save 11k because instead of spending 20k i have only spent 9k.

1 Like

Hapo 5th street na seventh street

1 Like

Walikufanyia nini hapo burma ndugu.ukiwa na plug legit wa matumbo beef na mbuzi utakua tu sawa

1 Like