cc;pidddy
koncho77
mr wise
buddy
nyegere
jaquam
godzila
demidog
deepbond
n.k
karibuni ugenini kumenoga
Villager…hizi status za huku ni noma
Wanakuja
Daaahhhh, JF imeondoka na madini kibao aisee, ule uzi wa kubet ulikuwa unabamba sana kwa wadau wa kubet kwa kufanikisha lengo lao
Mkuu upo?
Kama haupo hapa haukaribishwi??
Hahahahahaaaa
Tangu siku sana mkuu, Jiwe ndio kanipa ukimbizi rasmi wa kuja huku
Hahahaha ngoja nikawape taarifa wapendwa wangu waje humu
Ebu walete bana mambo yanoge kama kawaida
Tunazunguka sana ila Jf ndo home asante wa Kenya kwa kutupokea
Dah JF imeondoka na madini mengi sana…ule Uzi kuna watu nawafahamu wamejenga Kwa kudesa mikeka…
unakaribishwa tuu mkuu
Pamoja
usiwaze hata ugenini patanoga tuu.
wastue wanaa .tumehamia safaricom.mwendo ni uleule labda wazime data
Na ata wakizima itataftwa namna tu…
Chezea kila kitu ila usicheze na mazoea ya watu kuungua kwa jamvi sio mwisho wa stori tutatumia kila mbinu kubadilishana mawazo
Hakika mkuu…
Kesho Saudi Arabia anaenda kushangaza ulimwengu…
S
Saudia na mpira wapi na wapi!?
Watapigwa nyingi tu, kwanza watakuwa na swaumu ya kufa mtu, mpaka mechi imaisha ndo maghalibi inaingia mjini moscow (saa 2 na nusu usiku)