See torrent downloads by IP address
[ATTACH=full]75404[/ATTACH]
site: http://iknowwhatyoudownload.com/en/peer/
Simple use a VPN or online torrent client …hawa watu wanadai big fish si movie shop iko hapo githurai
Hehehehehehe, naona I.P address yangu ime download several CAD softwares na series
sishtuki
Makosa i me shamanism! !!!
Can someone please put up a step by step tutorial on how to use VPN
Noma
Huku Africa , akina MPAA RIAA na hizo maghasia zingine hawashuguliki.
If they spend $2bn kuua piracy, how will they recoup?
Nani Africa atanunua movie ya 3k? Game ya 7k? Track moja ya 100/=?
1 Like
Upus.those crackers have no time for us niggers
unaficha ip moja unaacha hio ingine ikituangalia hapo juu
Hiyo ni one of the ‘similar IPs’
Sasa kama kuna TV station inaitwa UTV huonesha movies latest na haijakuwa shut down, hizi torrents watakukujia kwa nyumba kweli?
1 Like