Watu wa Pesa Mayweather

Nataka kujua tutakuwa wangapi on average kwa club jamaa akifunza filipino kuchapana

At wht time will this match commence ,EA time ??

Nani atatupatia masaa ya hii game plus ni DSTV channel gani itakua inaionyesha. ule Mfilipino ataonyesha Mayweather what the weather in may looks like

3 Likes

Website zingine zinasema ni 0400 HRS British time (0600 EAT)

[ATTACH=full]4523[/ATTACH]

1 Like

NATAKA KUBET 10K , NAEZA BET WAPI SPORTPESA?

Ukiweka 1ok kwa Mayweather utawin 5K

[ATTACH=full]4547[/ATTACH]

2 Likes

ukiweka 10k kwa Pacquiao, utawin 18,750/-

ukiweka 10k kwa draw, utawin 160,000/-

1 Like

DSTV says main event is 0300 hrs CAT so 0400 hrs EA time. Beer zipelekwe pole pole, club za mpaka che kama SJ are the best venues but chunga mchele

Mayweather all the was, his record is flaw less

will watch the fight online

Huyu Mayweather, Alikuwa amechapwa in the last fight sijui mbona judges walimdeclare as winner. At best the fight was a draw I woke up at 3 just to watch the fight and though tight the dude had lost. I won’t loose my sleep over this tonight… I’ll watch the replay if he loses…Lakini huyu jamaa ako na pesa mingi mpaka ana hire 50cent kama bouncer.

1 Like

2K on manny

hahaha…Ati 50 cent kama bouncer???

Hiyo fight imesubiriwa kama payday.

elitebetkenya.com