Naah :rolleyes: am meeting him as a daughter/granddaughter
Nimekataa kuku meet priss
:D:D:D:D Kamutumila lipa, serre
wooooi ,ndugehota?
@Purr_27 kuna bar fulani hapo kamangu ya MCA unaijua?
True that. Hapa explanations are necessary ama tujijazie mapengo like this:
utarudisha ufala across the creek
![]()
Clavers, eh? Ile ya David Wa Ihumbu? Hapo ndipo disaster ya jana ilianza…
Ng’ombe ino!
Ndeiya ni place ingine iko nyuma kwa sababu ya mathegi the who is who in Nairobi used to have nice homes uko but wakahama juu ya hawa watu.used to have an uncle who used to have a nice palatial home huko but sadly he lost his life when he insisted on staying.
Apana najua Tu hide out,kupita inje:D:D …na ile place ya ruto…thou napenda hizo sides za ruthigiti,would never mind owning a plot there
Pole for that…got relatives there who have lived for years and are safe
Hii ng’ombe inajua 1+1 is not always 11…hehehe inaweza kuwa 2
Ati nirudishe ufala wapi? Bado sijauvukisha. Nikiuvukisha mtaita serikali iingilie kati nakwambia…
[ATTACH=full]61454[/ATTACH]
If you marry me you can have as many as you want, sweetheart…
He he …![]()
hehe hiyo hide out ni noma sana…wanakuwanga na thufu mzuri sana. room incase ukona slices ni 1000
nyi mnaona meet up wakati @Purr_27 ashaona sponsor.
hiyo place ya ruto iko tops…plots those side ni 2.5m 50*100, though kamangu sides ni cheaper
NDIO NIMEAMKA