So yesterday usiku nimekunywa kwa peasants huko Ndeiya interior bahali kunaitwo Nachu Gardens nikatupa mbao. Kurewo nikitoka najipata kwa mahindi ndani.
By the way hata sikuwa hata najua ni mahindi; I kept asking myself, mbona hii barabara hawajaweka murrum wanaruhusu mpaka nyasi inamea? Nikaweka hata wipers eti nione vizuri. Kumbe saa hiyo ni mahindi inavunwa! Ngai!! Nikadrive for five minutes na ‘nyasi’ haishi nikajiuliza kama nimerogwo.
Sasa the frobremu was, they wanted me to pay Sh5000 Kenya money for driving in the maize farm. Sh5,000! Wakatoa mapanga na sululu bana. I had to pay.
Maze watu wa Ndeiya kama @Wakanyama bana! Why plant maize bahali gari inaweza pitia ndiyo mfanye extortion?