Watu wa Nakuru, mpo?

Msituweke gizani, tafadhali! Live feeds if possible!

Mimi nitakupa live feeds from our prayer rally in the historic Kibera grounds

3 Likes

Huna TV kwako? Haiya enda kwa kiosk ya Mutiso ukatazame huko ukinywa chai.

1 Like

Niliacha ukiomba vacant situation ndani ya campaign machine ya team Jubilee. Ama ulibadilisha nia? @spear?

Typical speech to expect…

                            Wanainchi mimi niliteseka sana.kila saa kupanda ndege kuenda hegi,kulala mahoteli kifahari,Kujipiga selifi,kuvaa jaketi kubwa jeusi.

Kuvumilia kijibaridi kali ata flashi ya kamera nilipojipiga selifi na selifi stiki ikanichoma jicho.na hii yote ni sababu ya yule jamaa WA vutendawili.ashindwe!(cheers from crowd).

Tunawapa shukrani kuja hapa kusherekea hii ushindi wetu.hu ushindi ni sababu ya maombi na si uchawi kama wale kod.raila raila raila raila raila raila…asanteni(boards choppers)

8 Likes

I will not miss an opportunity to make cash this campaign season nor will i await for campaign funds to come. I have already made campaign materials for sale.

https://scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xtp1/v/t1.0-9/13012846_1008131202614228_6019501371213385628_n.jpg?oh=22201f4edea012f1d105b600e1d83cf2&oe=57BED71E

https://scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/12963856_1008133159280699_512748173692152916_n.jpg?oh=9b9461549777a0f07a8054b92ad6a541&oe=577C90FD

https://scontent.xx.fbcdn.net/hphotos-xaf1/v/t1.0-9/12985523_1008133522613996_5187709904164162327_n.jpg?oh=c75c9d730a10b9d931525f5321131bac&oe=578004E2

13 Likes

My friend it’s abit too early,and the political climate changes fast.remember vile PNU ilitoklezea autta nowhere. Kidogo kidogo utaskia prezi na deputy wake wamehamia dry fry peoples party of Kenya utakauka na sharti zako hapo

7 Likes

Wewe endelea kuota kwa roho safi, the decision on Jubilee party was done a longtime ago and as usual its us down here who are slow to get it. Stock inaenda sana and by this weekend rally i will have gotten back my investment and profit, the rest will be just pure profit. Hii dunia ni kujaribu mapema kabla wengine waone.

6 Likes

mwanaume ni kurisk. keep up the hustle Mr. mkuki

3 Likes

TIME changes but za cord tulia kiasi its too early

There is a guy who calls himself Kariyanwo. He must be very well off with the opportunistic calendars he prints.

1 Like

Mbona sikuoni ,niko hapo woodley.

1 Like

Grounds kibera zimejaa ata I am texting with my phone raised in the air juu hakuna space.

6 Likes

Chunga hiyo phone baba. Hiyo ni rent ya mtu unamwonyesha.

3 Likes

Am not tech savy. Simu yangu ni ya 2013 worth 9k then

hiyo ni rent ya mwaka na miezi kadhaa hapo laini Saba. Niliskia kuna keja za mia kadhaa na huko sides

In life, there are people who ask why and others who ask, why not, hustle iko chonjo bro, big up

2 Likes

@pamba usikubali hao hooligans and vandals watoke hio slum or your job will be the line

2 Likes

In case nobody else has provided the live connections, ndizo hizi hapa:

http://www.kenyamoja.com/tv/k24-live/

http://www.nation.co.ke/news/politics/-/1064/3161602/-/vt4he1z/-/index.html

1 Like

Wooi, JaKuon skipped his own pity-party!

[SIZE=6]Raila, Kalonzo, Wetangula skip Kibera rally, victims demand compensation
[/SIZE]
[SIZE=3]This thing had been hyped since Wednesday. What happened?[/SIZE]