Watu Wa FH,

Ilikosa brakes ikapandilia guard rails… Maroroi on your way to K west mahali panaitwa gomongo
[ATTACH=full]158579[/ATTACH] [ATTACH=full]158580[/ATTACH]

Ferk,that appears like a dead body lying on the ground.

Hii najua alienda kukanyaga breki akasikia imekuwa ngumu kama mawe :frowning:

Been thinking of getting a truck and everybody directs me to FH then I hear and see such brake horror tales. Isuzu it is, ningeendea Hino but story za consumption scare me.

whats that on the ground

chukua FRR

Nikiona hiyo word FH, nakumbuka Flying Horse na kichwa inaanza kuuma instantly

Merits and demerits?

Kwani Flying Horse ilikuangusha ukiwa “kazini” kule angani?

Hiyo kitu ilikuwa a true 4th generation liquor. Ilinigonga akili nikalewa siku mbili straight

He he he!
Pole Kaka

brings Maasai to mind

Fh brakes zake ni drum But ni ya zile Za brake fluid. na engine brake tu… .aka fruuchhoooofrruuchhoo…

FRR iko na drum but inatumia za Hewa… More capacity to brake and more stable. No FRR ni swara kwa njia… …haiskii mlima… Although both can do 12tons comfortable ikiwa na dereva anajua kucheza na gearstick vizuri… …
Nimechoka kutype