Watoto wamevunja TV

fanya ivi elder…vunja mtoi mkono and explain to him that uchungu anaskia ndivo umeskia…anyway cunt relate

Wall mount gani hiyo inakaribia 5k, unless imeundwa na Apple? Hizo vitu ukienda Luthuli hazipitishi 1500, kwanza designer origi kutoka China :smiley:

12 Likes

wewe kwa maoni yako huwa unafikiria wako tofauti?

I’m not a parent but I think wazazi wa siku hizi ni tofauti na wa kitambo. Kwetu hatukuwa na TV. Tulikuwa tunaenda kwa jirani kuwatch news ama wwe kwa greatwall. Saa hiyo TV ni battery powered

1 Like

You want something that can give you several viewing angles
Si kama hii
[ATTACH=full]143734[/ATTACH]
Tafuta hii
[ATTACH=full]143732[/ATTACH]

2 Likes

The word mount coming from you gives me a different picture totaley

6 Likes

Nimepigiwa simu sahii na mama Junior Ati, “Unaona Ile toy car ulinunulia junior ukasema ni ngumu haiwezi vunjika ikianguka? Imagine junior amegongesha kwa TV ikaturn black.”

Nimeskia nimeboeka nikamwambia mtakaa hivyo milele. Sinunui TV Ingine.
Then naingia kijiji nakutana na Hii thread. @Uncle Best unaeza kua ulikua kwangu???

27 Likes

Oh, hiyo ya chini basi inaeza kuwa a lilo bit expensive. But these chinese come up with some very simple solutions to otherwise big problems. Like that ka-mercury they include in the wall mount so you can know it’s in a straight line when mounting it, it’s such a simple solution. I watched some Youtube videos that show how to mount those TV brackets, and those guys (mostly Americans) always have a device (kama tu level ya fundi) they use to get a straight line. That ka-mercury eliminates the need for such a device.

2 Likes

so muweke hizo tv zenu bull bars?

3 Likes

Na wakikatika shingo?

Kama hujui ujue…

Kama watoto ni zaidi ya wawili, Ata TV kuwa na mbili ama zaidi moja, unaweka kwa bedroom yenu na bibi na ya watoto uweke kwa sitting room.

Wanakatika aje shingo ka wamedoz kuangalia ‘roof’ iko na telly?

Pole ndugu. Parenting is a challenge, but at the end of the day it’s well worth it. Some retard suggested you break the kids hand! Unbelievable, I guess he has the same mentality with the guy who killed his mother over a radio the other day.
Kids are fun, but they break stuff. I remember some things I broke when I was young…nostalgia…
My kids (and my wife !!!) have broken and crashed a lot of stuff. Whenever I hear a ‘crashing’ sound, I normally walk away unless it’s followed by a distress cry!

5 Likes

Sisi bado tuko league ya Kutoa buttons Za remote, hoping to never graduate to breaking TVs, it has nearly happened though

3 Likes

https://pbs.twimg.com/media/DQRrh3ZXcAAMYJP.jpg

1 Like

siri ya urembo hapa ni kufanya outdoors kuwa more interesting than indoors, that way watoto hawana time ya kushinda kwa nyumba destroying stuff!
my kids luv the outdoors hadi you have to go looking for them ndio wakule and you will still meet resistance. kama ni kuvunja vitu ni bike, skates, skateboard, bows and arrows etc.

3 Likes

Sasa ukiambia mtu anaishi 4th floor Githurai ati watoto wapende outdoors itakuwa ni kwa stairs ama wapi?

5 Likes

Paipu outdoors ni matope na joints kama Aston Villa

3 Likes

@Uncle Best usiwe na shaka, SRT (@syndicate Rescue Team) has had your distress call. Usitafute 26K call me i will deliver for u these
Digital Tvs
Hisense_ 23,000
LG - 24,000
Samsung-24,500
Sony_ 25,000
Free delivery within Nairobi.
Zama inbox we finalize

3 Likes

@Mankind usiwe na shaka,
SRT (@syndicate Rescue Team)
has had your distress call.
Usitafute 26K call me i will
deliver for u these
Digital Tvs
Hisense_ 23,000
LG - 24,000
Samsung-24,500
Sony_ 25,000
Free delivery within Nairobi.
Zama inbox we finalize

2 Likes