Watoto wamevunja TV

I don’t know where to start. But hiyo ndio uzazi Sasa I need to look for 26k nibuy nyingine. Wazee na kina mama wa Kijiji have you ever experienced this

9 Likes

Welcome to my world…pole sana.

7 Likes

Next time mount that thing! Wall units are so 1900!!!

21 Likes

mbisha

“watoto” what weird creatures are these? Can’t relate :D:D

7 Likes

As a lesson ningewashow wakae bila tv two months

10 Likes

hii kijiji sasa watoi kumi na tano wamevunja TV za elders muunde group mukutane muchape hizo nyangau viboko

30 Likes

Karibu duniani.wangu alosha tv like literally,then the rascal is waking me up to see how “clean the tv is” ushaishikwa na wazimu hujui ni mtoto utachapa slippers ama ukimbie mtaani ukipiga nduru kama mtu mwitu

23 Likes

:D:D:D:D:D:D hapo naweza cheka tuuu

1 Like

You’ll also be punishing yourself in the process…

Tv inaniangaliaga kwa store nashindwa niitupe ama nipeleke chop shop

Mami!.. Kuna nyumba zingine uki mount inaziba dirisha, wall next ndio bedroom, ingine ni kitchen ya last ni exit. Be gentle.

6 Likes

Mount kitu kwa ceiling. Tandika matress chini na mlale chali mkiangalia juu… Thank me later

33 Likes

Hata wangu alivunja last month, I replaced it juzi.

Ni sawa…they will suffer more

Never attach yourself too much on earthly things,niza kuisha

12 Likes

Said Jehova Wanyonyi and Joseph Kibwetere

18 Likes

“Blah blah blah…have you ever experienced this”

Hii cliché imebore sasa.

a wall mount is less than 5k… ona sasa

Hapa sasa umefikiria kama yule manager wa mapunda.

2 Likes