Water Rationing

Naona kama hii shida iliisha, swali ni, maji imetoka wapi? Ndakaini bado haijajaa na hakujakuwa na mvua kubwa ya maana. Kidero ndie alikuwa anatufungia maji, sisi wafuasi wa uthamaki? Pale unaishi, mko na maji?

2 Likes

Cartels and wastage has been a headache

1 Like

So where has water come from if they are still there?

bado umoja the rationing is intermittent

1 Like

Rationing iliisha kabisa…kidero alikuwa anatafuta pesa ya campaigns.

Cartels used to hoard it so that you buy from them.

Umeelewa?

1 Like

Mzito Sonko aliwaambia waende wakikauka? Si yule Jagili Kidero alikuwa anataka kuuza Nairobi water

Hata mii nilishangaa kwani ndakaine imejaa haraka aje…kidero was the worst thing that happened to NCC. He should go hump a mahogany’s bark

6 Likes

Rationing is still in effect.

Wapi huko?

along thika road

1…
A son argued with his father insisting that 1 + 1 was equal to 11.
The father looked at the son and said: "Go and buy 2 boiled eggs, the son went and returned with the two eggs.
The father said, Give one to me and another to your brother,
And the son asks: What about mine?
The father responds: eat the nine eggs that are left … nonsense

2…
@Female Perspective anapenda pesa sijui kama nini.even when you tell her " GO TO HELL " she will say " I don’t have transport

3…
Ukiomba mtu pesa alafu uone typing more than 2mins mwambie awache tu ushapata… bcs ile explanation inakuja imeshinda evidence ya Nasa…

5 Likes

o_Oo_Oo_Oo_Oo_O

Conversation in a salon in Nyeri:
Salonist: Wakariuki bona hushapagi mzee wako?
Wakariuki: Aaaah hakuna haja, huyo ni wa Arsenal
manashapagwo kira wakati!

3 Likes

:D:D:D:D:D:D:D

‘I’m finished’ is when your girlfriend starts arguing with a bouncer in a Club…and ends
up saying…“My boyfriend ain’t scared of you”…That moment my brother it’s either you become John Cena or you become Usain Bolt.

1 Like

Nairobi water haven’t updated their schedule in a while

since elections never had a dry tap. hio ng’ombe inaitwa kidero sitaki kuisikia

3 Likes

Hapa gatharaini bado tunaumia, mtungi moja ni 70bob

[INDENT]70o_Oo_Oo_Oo_O Mitungi ngapi per day? [/INDENT]