Hawa wasee wakuuza hizi mwt wakishamalizi kukuwekea hizi gbs huwa wanachange hii imei code zao ama wanakuachia tu hapo? Coz nikama niko na line ya msee aliwekewa na nimeigrab hio code.
Sasa NV. Nani amekutuma huku?
1 Like
Waulize hao wenye waliweka.
sisi tutajua aje?..
1 Like
Is it me or are the spies so dumb this days?
1 Like
:D:D:D:D:D:DNani amekutuma huku?
Ati kutumwa… lol
nike
Ok, i got your answer already…halafu hakuna cha uspy hapa, naweza kuwa new villager lakini najua vitu mob kukuliko so bora unyamaze kama huna kitu cha kuongea
2 Likes
so you mean after kureedem gbs imei inaachwa kwa simcard or what is ur point?
yeah kitu kama hio
uliachiwa imei code kwa sim card…we unajiskia ama?